Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Jan 10, 2025 #21 kina kirefu said: chadema noma ,MUDA huu mbowe kabananishwa clouds na power breakfast show Kunakikao Cha kamati kuu, kipo kinaendeshwa MUDA huu na LISU ....nimecheka sana Click to expand... Isije ikawa alikuwa anakwepa hicho kikao ndio maana akajifanya kuwa na hicho kipindi.
kina kirefu said: chadema noma ,MUDA huu mbowe kabananishwa clouds na power breakfast show Kunakikao Cha kamati kuu, kipo kinaendeshwa MUDA huu na LISU ....nimecheka sana Click to expand... Isije ikawa alikuwa anakwepa hicho kikao ndio maana akajifanya kuwa na hicho kipindi.
K kina kirefu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2018 Posts 15,188 Reaction score 18,583 Jan 10, 2025 #22 Tindo said: Isije ikawa alikuwa anakwepa hicho kikao ndio maana akajifanya kuwa na hicho kipindi. Click to expand... Alikuwa ana tafuta huruma kitaa mana kura ya maoni nchi zima inamchanganya Nawasiwasi hata power breakfast ilikuwa kama yamchongo hivi
Tindo said: Isije ikawa alikuwa anakwepa hicho kikao ndio maana akajifanya kuwa na hicho kipindi. Click to expand... Alikuwa ana tafuta huruma kitaa mana kura ya maoni nchi zima inamchanganya Nawasiwasi hata power breakfast ilikuwa kama yamchongo hivi
ChoiceVariable JF-Expert Member Joined May 23, 2017 Posts 66,537 Reaction score 75,687 Jan 11, 2025 #23 the guardian 17 said: View attachment 3197172 Click to expand... Baharia mzuri hujulikana wakati wa dhoruba. Wale vibaraka wanaopigiwa chapuo walikimbia Nchi wakati wa dhoruba na baada ya Uchaguzi eti wanaogopa kufungwa ila mwamba alikaa jela miezi ya kutosha. Amerekebisha chombo,dhoruba imetoa ndio waliokimbia Wanataka kumtoa nahodha eti amechoka. Huu ujinga unaweza fanyika Chadema tuu.
the guardian 17 said: View attachment 3197172 Click to expand... Baharia mzuri hujulikana wakati wa dhoruba. Wale vibaraka wanaopigiwa chapuo walikimbia Nchi wakati wa dhoruba na baada ya Uchaguzi eti wanaogopa kufungwa ila mwamba alikaa jela miezi ya kutosha. Amerekebisha chombo,dhoruba imetoa ndio waliokimbia Wanataka kumtoa nahodha eti amechoka. Huu ujinga unaweza fanyika Chadema tuu.