Mbowe kuandamana na Binti yake, je alimaanisha kuandamana au alikwenda akakamatwe?

Mbowe kuandamana na Binti yake, je alimaanisha kuandamana au alikwenda akakamatwe?

Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana ?
aliambatana na binti yake as shield na kuwajaribu polisi ikiwa watamkamata yeye pekee au wote na binti yake na kwa kosa gani..

Lakini pia aliambatana na binti yake ili kuatract public tension and sympathy, kitu ambacho hakikuwork politically speaking 🐒
 
Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana ?
Mwenzako Tigo mpaka muda huu anajikuna.......
 
Wapambe na warriors wa mitandaoni akina Erythrocyte, Mshana Jr, Tindo, Zitto Jr, nk walikacha, sasa jamani mlitaka aandamane na nani kama siyo mke wake na binti yake?
 
𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞 𝐦𝐧𝐠𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚, 𝐲𝐞𝐲𝐞 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐞 𝐤𝐚𝐥𝐚𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐦𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐝𝐨 𝐭𝐮𝐚𝐧𝐝𝐚𝐦𝐚𝐧𝐞🤣🤣 𝐤𝐚𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞 𝐬𝐚𝐬𝐚
 
Kuzuia maandamano ni UJASIRI?🤣🤣🤣.
Ila wanashindwa kuzuia watu kutekwa na kuuliwa.haya.
Mama kasema yeye amewahi kuua sisimizi tu.
Hizo roho za watu hausiki.japo aliwahi kusema utekaji ni DRAMA
 
𝐚𝐬𝐢𝐧𝐠𝐞𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞 𝐦𝐧𝐠𝐞𝐬𝐞𝐦𝐚, 𝐲𝐞𝐲𝐞 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐞 𝐤𝐚𝐥𝐚𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐬𝐢 𝐦𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐧𝐢 𝐧𝐝𝐨 𝐭𝐮𝐚𝐧𝐝𝐚𝐦𝐚𝐧𝐞🤣🤣 𝐤𝐚𝐞𝐧𝐝𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐰𝐚𝐧𝐚𝐲𝐞 𝐬𝐚𝐬𝐚
😂😂😂
 
Kama CCM ilivyo mpigia Mwabukusi debe Hadi akawa rais wa TLS ndio hivyo vivyo wanavyompigia Mbowe na Lissu debe kuhusu urais wa nchi.
Mwabukusi alikua hafahamiki hata kule Mbeya lkn CCM ikamuweka ndani na watu maarufu, wakamuwekea pingamizi, akaruka viunzi vyote na Sasa Jimbo la Mbeya mjini linamsubiri.
Juzi dunia nzima iliona Mbowe anavyofanyiwa kampeni na CCM bila hata kada mmoja wa CCM kujua.
TANGA mjini kampeni mliofanyia chadema sio ya kitoto.
 
Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana
Mbowe alikwenda kuwapongeza Polisi kwa uzalendo wao wa kuandamana kwa niaba ya Chadema na kuionyesha dunia kuwa ni kweli CCM inalitumia jeshi hilo kuishibiti Chadema kama hivi
 
Attachments

  • FB_IMG_1727624526218.jpg
    FB_IMG_1727624526218.jpg
    42.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727624520521.jpg
    FB_IMG_1727624520521.jpg
    31.8 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727624514775.jpg
    FB_IMG_1727624514775.jpg
    13 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727624508740.jpg
    FB_IMG_1727624508740.jpg
    39.2 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727158232732.jpg
    FB_IMG_1727158232732.jpg
    48 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727158226330.jpg
    FB_IMG_1727158226330.jpg
    48.9 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727145615769.jpg
    FB_IMG_1727145615769.jpg
    88.5 KB · Views: 1
  • FB_IMG_1727185842688.jpg
    FB_IMG_1727185842688.jpg
    37.8 KB · Views: 1
Mbowe alikwenda kuwapongeza Polisi kwa uzalendo wao wa kuandamana kwa niaba ya Chadema na kuionyesha dunia kuwa ni kweli CCM inalitumia jeshi hilo kuishibiti Chadema kama hivi
Ma keyboard warriors muda wenu wa kujifariji baada ya majonzi mazito
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana ?
Wabongo hatuna shukrani na ni wanafique tumepitiza
Kama wewe , sasa wewe unaweza kwenda na mtoto wako sehemu ya hatari?
Maandamano ya amani tangu lini yakawa hatarishi.. Na ni mtu mzima si mtoto
Wakienda pekeyao mnawataka waende na watoto wao.. Wakienda nao eti ni hatari.. 🤔🥺🙇🏿‍♂
 
Back
Top Bottom