Mbowe kuandamana na Binti yake, je alimaanisha kuandamana au alikwenda akakamatwe?

Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana ?

We won't back down, US envoy tells Samia on abductions.​

Wabongo hatuna shukrani na ni wanafique tumepitiza

Maandamano ya amani tangu lini yakawa hatarishi.. Na ni mtu mzima si mtoto
Wakienda pekeyao mnawataka waende na watoto wao.. Wakienda nao eti ni hatari.. 🤔🥺🙇🏿‍♂
Acha utoto ,kuwa Upinzani haina unakuwa umefungwa akili . Wewe kwa akili zako maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi yanakuwaje ya Amani ?
 
Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana ?
Wangemwachia dakika moja tu wangaa nyomi ya kufa mtu. Mbowe alimudu kuwachenga POLISI pamoja na ulinzi wote ule uliowekwa kila Kona lakini alifanikiwa kufika key point nakutoa hutuba ingawa kwa sekunde chache. CDM ni chama chenye nguvu sana pamoja nakupingwa na vyama vyote vya Upinzani, pamoja na vyombo vya dola lakini bado kinang'ara ni chama chenye Roho ya paka
 
Mbona wewe hukuandamana basi na wewe ni mnafiki wa kutupwa!
Tena yeye ni mmoja wa wanafiki wa kutupwa. Huku mitandaoni wanajifanya wafia chama, ukifika wakati wa sintofahamu wanaingia mitini!
 
  • Kicheko
Reactions: UCD
Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana ?
Walikwenda for photo shoot ili wafadhili wawaone
 
Wangemwachia dakika moja tu wangaa nyomi ya kufa mtu. Mbowe alimudu kuwachenga POLISI pamoja na ulinzi wote ule uliowekwa kila Kona lakini alifanikiwa kufika key point nakutoa hutuba ingawa kwa sekunde chache. CDM ni chama chenye nguvu sana pamoja nakupingwa na vyama vyote vya Upinzani, pamoja na vyombo vya dola lakini bado kinang'ara ni chama chenye Roho ya paka
Wewe unaweza kwenye maandamano na mtoto ?
 
Michezo ya DJ tu hiyo.
DJ anakula kwa urefu wa kambayake na watawala, mtajua badae sana.
 
Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana ?
Kwamba unamaanisha sentensi kama hii? "Mwanangu usiogope twende.Polisi watatukamata then tutatoka baada ya muda".
 
Damu ni nzito kuliko maji , ujasiri wa polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano .

Tuweke hisia za uvyama pembeni , je Mwenyekiti mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana ?
Wabongo hatuna shukrani na ni wanafique tumepitiza
Kama wewe , sasa wewe unaweza kwenda na mtoto wako sehemu ya hatari?
Maandamano ya amani tangu lini yakawa hatarishi.. Na ni mtu mzima si mtoto
Wakienda pekeyao mnawataka waende na watoto wao.. Wakienda nao eti ni hatari..
Acha utoto ,kuwa Upinzani haina unakuwa umefungwa akili . Wewe kwa akili zako maandamano yaliyopigwa marufuku na polisi yanakuwaje ya Amani ?
Changia hoja kwa hoja acha kebehi
 
Karudie kusoma Ile ramani iliyoonyesha maandamano yataanzia wapi na kuishia wapi

Ukipata jibu utagundua mbowe na mwanae walikuwa wanaenda wapi
 
Damu ni nzito kuliko maji, ujasiri wa Polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano.

Tuweke hisia za uvyama pembeni, je Mwenyekiti Mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana?

Kwani wewe ulikuwa ukipiga chabo kutokea wapi?
 
Damu ni nzito kuliko maji, ujasiri wa Polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano.

Tuweke hisia za uvyama pembeni, je Mwenyekiti Mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana?
Verified id huwa mna akili kisoda
 
anamuiga kagame kwenda kwenye hadhara za kisiasa na bintizake
 
Back
Top Bottom