Yaani Slaa tena awe raisi. Si Itakuwa balaa. UKATOLIKI MTUPU HAPO na nchi itakuwa ya Kikatoliki kama ilivyokuwa wakati wa JKN. kwani yeye alikuwa katibu wa TEC.
Watanzania tumwangalie sana Slaa huyu.
I wanted to ask the same question. Kumbe kuna issue ya Ukatoliki.Mkuu si uliaga hapa unakwenda Meccah na Meddina sasa imekuwaje mkuu
.Mkuu si uliaga hapa unakwenda Meccah na Meddina sasa imekuwaje mkuu
Yaani Slaa tena awe raisi. Si Itakuwa balaa. UKATOLIKI MTUPU HAPO na nchi itakuwa ya Kikatoliki kama ilivyokuwa wakati wa JKN. kwani yeye alikuwa katibu wa TEC.
Watanzania tumwangalie sana Slaa huyu.
Dr Hamza, Inshallah Bi Ithini Llahi naondoka tarehe 10 Nov 2009..
Mimi ninavyoelewa na jinsi alivyoandika anaondoka taarih 13 Nov 2009.
Hafif kama nimekosea nikosoe
Don't generalize bwana jisemee nafsi yako, na si watanzania.. we unamatatizo gani na wakatoliki? mi si mkatoliki lakini sijaona tatizo laoYaani Slaa tena awe raisi. Si Itakuwa balaa. UKATOLIKI MTUPU HAPO na nchi itakuwa ya Kikatoliki kama ilivyokuwa wakati wa JKN. kwani yeye alikuwa katibu wa TEC.
Watanzania tumwangalie sana Slaa huyu.
Hawa Chadema nao wanapupa...walianza vizuri hawakuwa na haraka wala pupa ya mambo...kama watampeleka Slaa kwa wananchi ambao wanamjuwa Slaa lakini chama chake bado si maarufu katika maeneo ya wapiga kura wengi,Dr.Slaa anahitajika bungeni wakati utafika wananchi wenyewe...watamuhitaji awe kiongozi wao wa nchi...kama walivyofanya wanachi wa Karatu wakati ule alipopokwa tiketi yake na wananchi wakamtaka agombee kupitia chadema...si walimpa, chadema wasifanye papara...we need the guy in parliament.