Mbowe kuhusu kumpokea Dkt. Slaa: Walioondoka kwa kukidhalilisha chama watafute uungwana wakati wa kurudi

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametoa kauli kuhusu taarifa za aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Willibrod Peter Slaa kudaiwa kuwa mbioni kurejea kwenye chama hicho:

“Chama chetu ni cha kidigitali yeyote naweza kujiunga au kutoka lakini chama cha siasa ni chombo cha watu na sio klabu.

“Hakuna urafiki wa kudumu au uadui wa kudumu, kwa mtu aliyekuwa kiongozi mwandamizi kwenye chama kama Dkt. Slaa ujio wake hauwezi kuwa kama mwanachama mwingine wa kawaida.

“Sisi hajatufikia, yeye alikuwa Karatu, akazungumza na Wananchi wake, ametoa kauli kauli wakati mwingine dhidi yetu na wakati mwingine kutuunga mkono, hayo ni maisha na lazima yaendelee.

“Tunawakaribisha wote CHADEMA, hatuna geti la kuzuia Wanachama wapya lakini tunatamani walioondoka kwenye chama kwa kashfa, kukidhalilisha chama wanapotaka kurejea watafute uungwana wa kuzungumza na viongozi wenzao kipi kilienda tofauti.

Hii inaitwa Busara
 
Uungwana wa Freeman Mbowe ni mfano wa kuigwa kabisa nchi hii.
Angalia alivyo wahi kutukanwa na kukashifiwa na Dr Slaa aliyekuwa amemfadhili kwa kiwango cha juu lakini yeye leo anamkaribisha kwa uungwana na kumshauri atumie diplomasia ya kisiasa kuwaomba wengine kurejea.
Imagine mtu wa aina hiyo tunampa Urais wa nchi! Nchi itakuwa poa sana.

Hili mimi nikifikia mtukana mtu kwa kiwango kile siwezi kurudi, ila pia siwezi mtukana vitu vile, basi tuseme tu, njaa ni mbaya.
 
DR slaa yupo karatu na anafanya mikutano ya kisiasa karatu.majuzi alikuwa na mkutano wa hadhara kata ya rhotia na anafanya mikutano km kiongoz wa cdm.ina maana mbowe hamfahamu?Nani amempa hayo majukumu ya mikutano ndani ya chama?ukweli ndyo hu yy ndye mgombea wa ubunge karatu kwa tiketi ya cdm na uwezo wa kushnda n mkubwa na hlo mbowe anajua.SIASA NI MCHEZO MCHAFU
 
“Hakuna urafiki wa kudumu au uadui wa kudumu, kwa mtu aliyekuwa kiongozi mwandamizi kwenye chama kama Dkt. Slaa ujio wake hauwezi kuwa kama mwanachama mwingine wa kawaida.

“Sisi hajatufikia, yeye alikuwa Karatu, akazungumza na Wananchi wake, ametoa kauli kauli wakati mwingine dhidi yetu na wakati mwingine kutuunga mkono, hayo ni maisha na lazima yaendelee.
Kuuma na kupuliza ni jadi yetu, Monduli tulifanya hivyo
 
Kwanini unawafanya wasaidizi wa mwenyekiti waonekane kama watoto wadogo?

Naona unataka udikteta uchukue nafasi Chadema, halafu tena useme Mbowe anawaburuza wenzie, hutaki watu wafanye kazi kwa pamoja.

Sio watoto wadogo bali ndio uhalisia.
 
Mbowe hakumpokea Lowassa peke yake, siku ile ya mapokezi walikuwepo Mbowe, Slaa, Lissu, Prof. Baregu na viongozi wengine.

Hiyo haiba ya chama iliyoharibika utakuwa unaiona kwa jicho lako, lakini sio macho ya wengine hasa kule field tunapoona mikutano yao.
Dr. Slaa alishiriki kila hatu kumpokea Lowasa Chadema,Ila alizidiwa nguvu na mchumba wake Josephine ambaye alikuwa ameshaingia makubaliano ya siri na TISS.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametoa kauli kuhusu taarifa za aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Willibrod Peter Slaa kudaiwa kuwa mbioni kurejea kwenye chama hicho:

“Chama chetu ni cha kidigitali yeyote anaweza kujiunga au kutoka lakini chama cha siasa ni chombo cha watu na sio klabu.

“Hakuna urafiki wa kudumu au uadui wa kudumu, kwa mtu aliyekuwa kiongozi mwandamizi kwenye chama kama Dkt. Slaa ujio wake hauwezi kuwa kama mwanachama mwingine wa kawaida.

“Sisi hajatufikia, yeye alikuwa Karatu, akazungumza na Wananchi wake, ametoa kauli kauli wakati mwingine dhidi yetu na wakati mwingine kutuunga mkono, hayo ni maisha na lazima yaendelee.

“Tunawakaribisha wote CHADEMA, hatuna geti la kuzuia Wanachama wapya lakini tunatamani walioondoka kwenye chama kwa kashfa, kukidhalilisha chama wanapotaka kurejea watafute uungwana wa kuzungumza na viongozi wenzao kipi kilienda tofauti.
Si ni ninyi mlikuwa mnamsifia kuwa slaa ni mpinzani wa kweli? Imekuwaje tena mnamparua?
 
Mbowe alienda Ikulu alipotoka jela break ya kwanza lakini Lissu alikutana na mama belgium bila ya mashauri na wenzake na leo anahutubia mikutano ya chadema kama kiongozi muandamizi ni kwa nini Dr slaa anahitaji kuonana na viongozi wa chadema kwanza??

Yeye aliteuliwa balozi lakini hakuwahi kuonekana hadharani kurejesha kadi ya chadema au kuchukua ya ccm kwanini sharti hili laja kwake tu?

Hati miliki ya chadema anayo mbowe na Lissu tu? wao hawana baya?
 
KARIBU DR. SLAA, KARIBU SANA,TUONGEZE NGUVU TUSONGE MBERE!
Kuna uzi nilishwahi uandika humu, 2025 Inshallah tukiwa tunapumua nitaupandisha. Ama wataupandisha wana style ya zile nyuzi za kuibuka baada ya mambo kutokea, ila wakati zinazikwa zinakua na wachangiaji wasiozidi 10 na likes less than 10
 
Kuna kipindi taifa kama taifa lilipitia wakati mgumu sana. Hasa wale wapinzania. Hali iliyopelekea wengine kukimbia nchi, wengine wakakimbia vyama vyao na kujiunga na chama tawala bila kujali kwamba walikuwa wabunge, na walipewa tena ubunge wao baada ya kujiunga na chama tawala kwa uchaguzi wa namna ile. Sasa mama anajitahidi kuponya taifa. Na vivyo hivyo kwa cdm, WALE WALIOKOSESHWA NA DIKTETA HITLA, KAMA WATAJUTIA DHAMBI YAO, BASI WAPOKELEWE. Ni watu wema ila USHAWISHI (wa fedha, ahadi za mavyeo, na vitisho vya wasiojulikana) viliwakengeusha.
 
Back
Top Bottom