Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

Tetesi: Mbowe kupata uteuzi DC Mbozi

Mheshimiwa anaenda Kula uteuzi DC Mbozi kupoza maumivu ya kushindwa uchaguzi
Ubinadamu haupo hivyo. Yaani uchaguzi umeisha, aliyeshindwa amekubali, lakini bado wapambe wanaona haitoshi!
 
Tangu wajumbe muishiwe posho bas ni kuanzisha uzi za kise** tu humu
Nb:aikaeli ni jeuri sana ww
 
Ubinadamu haupo hivyo. Yaani uchaguzi umeisha, aliyeshindwa amekubali, lakini bado wapambe wanaona haitoshi!
Na wanaoleta kejeli ni vibaka wa CCM ya kwao yamewashinda wanarukia kwa jirani.
 
Back
Top Bottom