Mbowe kupendekeza uongozi ukae miaka mitatu madarakani, kisha Uchaguzi unafanyika

Mbowe kupendekeza uongozi ukae miaka mitatu madarakani, kisha Uchaguzi unafanyika

Mgawanyo wa kura za Mbowe na Lissu tarehe 21st Jan 2025
Balaza la wazee - Mbowe 65% Lissu 35%
Balaza la wanawake Mbowe 75% Lissu 25%
Balaza la vijana Mbowe 55% Lissu 45%
Wajumbe wote Mbowe 60% Lissu 40%

Wastani jumla kuu
Mbowe 63.75
Lissu 36.25.

Game over !!
Mwambie huyo Mbowe aache tabia za kiccm za kukimbia midaharo.
Au ccm wamemzuia kushiriki midaharo? Inawezekana vikawa vipengele vya maridhiano, tujuzeni enyi machawa wake.
 
Mwambieni apokee simu ashiriki mdaharo.
Tabia za kukimbia mdaharo ni za kiccm
Unataka yamkute ya AFANDE KINGAI VS KIBATALA

Njia pekee ya mbowe kuepuka fedheha ni 🏃🏃🏃 kuukimbia mdaharo..

Lisu atamlaza na viatu... ikiwezekana kue Kuna ambulance 🚑 nje kabisa kabisa maana mbowe asije pata shinikizo la moyo.
 
Back
Top Bottom