Mbowe kupendekeza uongozi ukae miaka mitatu madarakani, kisha Uchaguzi unafanyika

Mwambie huyo Mbowe aache tabia za kiccm za kukimbia midaharo.
Au ccm wamemzuia kushiriki midaharo? Inawezekana vikawa vipengele vya maridhiano, tujuzeni enyi machawa wake.
 
Mwambieni apokee simu ashiriki mdaharo.
Tabia za kukimbia mdaharo ni za kiccm
Unataka yamkute ya AFANDE KINGAI VS KIBATALA

Njia pekee ya mbowe kuepuka fedheha ni πŸƒπŸƒπŸƒ kuukimbia mdaharo..

Lisu atamlaza na viatu... ikiwezekana kue Kuna ambulance πŸš‘ nje kabisa kabisa maana mbowe asije pata shinikizo la moyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…