Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame

Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako

1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)

Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa

Mytake

1. Hivi leo mwenyekiti wa ccm Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa ccm hivi dunia itasema nini?

2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea

USHAURI KWA KANISA KKKT

1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya

-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo

- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?

2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all

3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?

USHAURI KWA MBOWE

Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari

USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA

Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema
Nyuki kamwe hakumbatiwi

Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022
IMG-20220320-WA0006.jpg
IMG-20220320-WA0005.jpg
 
Mkuu, mimi nikuulize swali moja tu.

Kuna sheria yoyote iliyovunjwa hapo.

Ukisema, NDIYO, basi nakusihi usimlilie Mama Mzinguo, wahimize wanaotakiwa kusimamia sheria hiyo wachukue hatua.

Watu kama nyinyi ndio mnaoleta shari ndani ya nchi hii kwa kutozingatia matakwa ya sheria zilizopo, badala yake mnakimbilia Mwenyekiti wa CCM atunge sheria zake kukidhi mahitaji yenu. Ndiyo maana wengi wenu mlimpenda sana yule shetani.
Mimi huwa nashangaa kuona siasa inakuwa kama uadui !! Hivi ni kwanini hasa ??
 
"Hivi leo mwenyekiti wa ccm Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa ccm hivi dunia itasema nini?"

Jibu ni kwamba kama kawaida wataonekana waislamu hawana elimu ndio maana wameruhusu kutumika na ccm lakini pia wataonekana ni wadini sana na ndio maana wamekubali kutumika na Samia kwa sababu ni muislamu mwenzao.
 
Mtoa mada nenda kanisani/msikitini nawe mshukuru Mungu kwa mema yote aliyokutendea.
 
Mimi huwa nashangaa kuona siasa inakuwa kama uadui !! Hivi ni kwanini hasa ??
Kwa sababu wengi wanaojitambulisha kuwa ni wanasiasa si wanasiasa hasa, bali ni wachumia tumbo tu.

Ukimuuliza mtu kama huyo, yeye katika uanasiasa wake ni kipi hasa anachokiamini na kukisimamia hupati jibu.
 
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame

Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako

1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)

Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa

Mytake

1. Hivi leo mwenyekiti wa ccm Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa ccm hivi dunia itasema nini?

2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea

USHAURI KWA KANISA KKKT

1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya

-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo

- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?

2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all

3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?

USHAURI KWA MBOWE

Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari

USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA

Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema
Nyuki kamwe hakumbatiwi

Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022

View attachment 2158282

View attachment 2158283

View attachment 2158284

View attachment 2158285
Hoja inafikirisha. Hivi kwa mfano kulikuwa na umuhimu gani kuvaa sare za Chadema kanisani? Vipi kama wangeenda na nguo za kawaida tu kwa lengo la kuabudu? Je, hali hii ikiendelea siku misikiti na makanisa si yanaweza kugeuka majukwaa ya CCM na Chadema?

Busara sana na muhimu; tusilete siasa makanisani na misikitini. Hoja hii ijadiliwe kitaifa zaidi kuliko itikadi za vyama.
 
Watu wengi bado wako Gizani sana wengi wanasumbuliwa na mihemuko hisia na wivu tu sio mantiki wala uhalisia
 
Wacha mahangaiko mkuu. Ikikuuma puliza.
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame

Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako

1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)

Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa

Mytake

1. Hivi leo mwenyekiti wa ccm Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa ccm hivi dunia itasema nini?

2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea

USHAURI KWA KANISA KKKT

1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya

-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo

- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?

2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all

3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?

USHAURI KWA MBOWE

Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari

USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA

Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema
Nyuki kamwe hakumbatiwi

Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022View attachment 2158428View attachment 2158430
 
Yani weye na LB7 wenzako mnafuatilia taarifa na matukio ya Mbowe kuliko kuishauri serikali ipambane na mfumuko wa bei nchini?

Fanyeni kazi nyingine.Maana nyuzi kibao,mara:-

-Viongozi wa dini wagoma kumpokea Mbowe

-Mapokezi ya Mbowe yabuma

-and the blah blahs everywhere!
 
Kanisani na huyo mzee mwenye barakashia hapo alienda kufanya nini?
tofauti ya kanisa na msikiti na hekaluni ni kuwa, msikitini na hekaluni , wanaingia waumini wa imani moja.

kama ni mskitini wataingia waisilam tu msikitini nk.

Hekaluni wataingia wayahudi tu, ila kwa kanisa mtu wa imani yeyote ana ruhusiwa kuingia.
 
Mm binafsi nikishanga sna HV anafikirinkuwa kuwa wamachame wote Ni cdm hpn watukiingia kanisnai hadi na vibege vya kikomandoo
Na kofia juu

Mleta mada umefanya na umewazza vzr sna
Kwahiyo Magu alikuwa anafikiria wakatoliki wote ni CCM acheni kuwaza kwa hisia
 
Yaaani huyu jamaa sheeda kanisa hili liko majaribuni
 
Back
Top Bottom