Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

Hujamuelewa Mbowe.

Mbowe anafahamu mtaji wake mkuu ni ukabila!

Tatizo lake ana uduni wa ufahamu kwamba hataweza kushinda uchaguzi bila makabila mengine.

Aliwahi kuropoka kwamba wakati wa Magufuli wachaga hawakuajiliwa serikalini, wakati anafahamu ajira kuu ilikuwa ni ualimu na Kilimanjaro mashuleni wamejaa wachaga tu!

He is just a hopeless guy!
 


Kuna tofauti kwenye ukristo.

Unaweza kuomba misa yako ya shukurani mbali mbali mfano nyingine za ndoa kufikisha miaka fulani, watoto kumaliza shule, kupona magojwa hatari….. hizi mi misa maalumu na binafsi.

Kwenye misa hizi za shukrani hawapangii watu cha kuvaa au wa kuwaalika mfano misiba watu wata vaa tofauti na sherehe za ndoa.

Hii ni misa binafsi ya shukrani hivyo tusilinganishe na mathehebu mengine hizi ni imani za Lutheran church! Wewe ni Mkatoliki au Mwislamu kuna utaratibu tofauti.

Hivyo hawatafanya vitu kwa matakwa yako au mwonwkano wako siasa zinakuja na kuondoka jamaa hawa wa kanisa hawatabasilisha sheria kufurahisha chama au serikali.

ACT nao wakitaka kufanya misa ruksa
 
Sijasoma yote umeandika upuuzi, bila shaka wewe ni mpuuzi mkuu.
 
Kwani Mbowe ndiye aliyewavalisha nguo waliohudhuria ibada?

Acheni uwoga wa kijinga. Watu hao wakiingia na hayo mavazi yao kanisani, tena haikuwa kwa watu wote, kunaathiri nini?

Mbona kuna watu wengi tu, hasa vijijini, mpaka leo hii, wanavaa tshirt za CCM kwenye matukio yote?

Kwanza mavazi ya CHADEMA yana rangi nyingi, kiasi cha kuonekana ni mavazi ya kawaida. Ni ngumu sana, hata ukiwa CCM, kukwepa rangi zinazotumiwa na CHADEMA, nadhani ni rangi 3 au 4, tena miongozi mwa rangi zinazopendwa na wengi.
 
Hivi wewe si ungeenda hata kufanya usafi wa matundu ya vyoo vya watoto wa shule ya msingi kuliko mudo uliopoteza kuandika huu uchafu.

Hujielewi.

wewe huna tofauti na wale wasiojua PGO ni kitu gani.Jinga sana.
 
Usiishi kwa mazoea we mbwiga, kama Tanzania ni mpya chini ya Madam President SSH, basi kuwa tu mpole. Yale ya mwendazake yamekwisha kupita.
 
Mbowe alibambikiwa kesi ya ugaidi kwa sababu tu ya kuwa kiongozi wa CHADEMA. Kuna ubaya gani kwenda kumshukuru Mungu ukiwa na alama ya kile kilichokusababishia upate mateso?
 
Mbona mikutano ya kitaifa huwa tunavaa sare za chama.

Mbona matukio ya UWT huwa tunavaa sare za chama.

Mbona Bashiru aliingia kanisani akiwa katibu mkuu wa chama huku amevaa Kofia ya imani yake.

Huko vijijini wazee wengi wanavaa vilemba na matisheti yana picha za Hangaya wanaingia makanisani
Moyo ndio unaangaliwa na Mungu.
 
Oneni Form 6 Div 0 invyosumbua watu, yaani Mbowe anaona watu wajinga jinga kama Div 0 vile.
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

wao wakifanya siasa kanisani raha ila kwa wenzao kelele nyingi na malalamiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…