Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

Aliyetamka kuwa anachapa kazi huku mtu mgonjwa aliongelea mlima Kilimanjaro au nyumba za ibaada?
Mambo mengine msiyakuze kisa tukio linamwelekeo wa upinzani.
 
Pamoja mwezako div o anafahamika duniani akiwa anaitwa Freeman aikael mbowe jina kamili lakini wewe una division 1 hujulikani unaitwa Nani

Ukiachana na Hilo PhD serikalini zinahaha kudhibiti werevu wa mwamba hapo

Anajulikana kwa ujinga. You look like penguin
 
Sijui kuhusu ukabila na udini lakini ingekuwa vema ungeweka hapa hiyo speech kuwa wkt wa jpm. Kama ni video au picha.
Na alisema akiwa wapi na akifanya nn alitoa hiyo kauli?
 
Kanisani na huyo mzee mwenye barakashia hapo alienda kufanya nini?

Lete picha nyingine ya mazingira tofauti (ndani ya kanisa) yenye mavazi yanayofanana tulinganishe vinginevyo ondoa ujinga wako hapa.
kuna watu wanafikiria kwakutumia ------------ nani alikuambia barakshia ni vazi la ibada???
 
Nimekucheka sana mbona huja jiulize kwanini hilo Kanisa linajengwa na kina Mbowe!!!....Na Kwasababu hujui ni Kwamba Jimbo la Hai Misikiti na Makanisa ni kama Ndugu Tu!!..Na hii nakupa ya Mwisho kule Hai Mbowe wanamuita Kaka kwasababu ndio ameongoza kuchangia Ujenzi wa Misikiti na Makanisa yote!!..Hilo Kanisa walipoenda kusali na kutoa Shukrani kulikua na Kanisa la Zamani Mzee aikaeli (Mbowe family) wakaamua kubomoa na kujenga jipya Kwa kushirikiana na waumini wenzao
 
Hata JPM alilitumia Kanisa Katoliki kufanya siasa enzi zake.

Ukumbuki maneno ya HUYU NI CHAGUO LA MUNGU!
 
Pole sana Mwamba ndio katoka Jela mtatoa kila mlio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…