Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alienda na wanaccm wenye sare?
Pamoja mwezako div o anafahamika duniani akiwa anaitwa Freeman aikael mbowe jina kamili lakini wewe una division 1 hujulikani unaitwa Nani
Ukiachana na Hilo PhD serikalini zinahaha kudhibiti werevu wa mwamba hapo
Sasa hivi Mbowe ataanza kuzikimbia arambee kwani kuna wenye imani kubwa naye.Mnaonaje mkimpiga risasi 785000 ili asirudie tena kuwakera?
Kinyume na hapo atawakera hadi mkojoe matombolilo, migagi na nguniani na mabangayeye
Sijui kuhusu ukabila na udini lakini ingekuwa vema ungeweka hapa hiyo speech kuwa wkt wa jpm. Kama ni video au picha.hUjamuelewa Mbowe. Mbowe anafahamu mtaji wake mkuu ni ukabila! Tatizo lake ana uduni wa ufahamu kwamba hataweza kushinda uchaguzi bila makabila mengine. Aliwahi kuropoka kwamba wakati wa Magufuli wachaga hawakuajiliwa serikalini, wakati anafahamu ajira kuu ilikuwa ni ualimu na Kilimanjaro mashuleni wamejaa wachaga tu! He is just a hopeless guy!
kuna watu wanafikiria kwakutumia ------------ nani alikuambia barakshia ni vazi la ibada???Kanisani na huyo mzee mwenye barakashia hapo alienda kufanya nini?
Lete picha nyingine ya mazingira tofauti (ndani ya kanisa) yenye mavazi yanayofanana tulinganishe vinginevyo ondoa ujinga wako hapa.
factsNikikumbuka zile porojo zako za Tanzania ya viwanda na huu utoto unaoandika hapa, kweli nimejua umepoteza ramani.
Nimekucheka sana mbona huja jiulize kwanini hilo Kanisa linajengwa na kina Mbowe!!!....Na Kwasababu hujui ni Kwamba Jimbo la Hai Misikiti na Makanisa ni kama Ndugu Tu!!..Na hii nakupa ya Mwisho kule Hai Mbowe wanamuita Kaka kwasababu ndio ameongoza kuchangia Ujenzi wa Misikiti na Makanisa yote!!..Hilo Kanisa walipoenda kusali na kutoa Shukrani kulikua na Kanisa la Zamani Mzee aikaeli (Mbowe family) wakaamua kubomoa na kujenga jipya Kwa kushirikiana na waumini wenzaoLeo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame
Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako
1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)
Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa
Mytake
1. Hivi leo mwenyekiti wa ccm Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa ccm hivi dunia itasema nini?
2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea
USHAURI KWA KANISA KKKT
1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya
-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo
- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?
2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all
3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?
USHAURI KWA MBOWE
Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari
USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA
Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema
Nyuki kamwe hakumbatiwi
Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022View attachment 2158428View attachment 2158430
Sasa hivi mmeaza Sasa andaeni Tena faili la kuhamasisha ukabila unaitwa afande Nani vileAnajulikana kwa ujinga. You look like penguin
Kuna aliyewazuia kufanya hivyo?Alienda na wanaccm wenye sare?
Pole sana Mwamba ndio katoka Jela mtatoa kila mlioLeo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame
Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako
1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)
Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa
Mytake
1. Hivi leo mwenyekiti wa ccm Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa ccm hivi dunia itasema nini?
2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea
USHAURI KWA KANISA KKKT
1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya
-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo
- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?
2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all
3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?
USHAURI KWA MBOWE
Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari
USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA
Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema
Nyuki kamwe hakumbatiwi
Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022View attachment 2158428View attachment 2158430
Hii maana yake ni kwamba MBOWE SIYO GAIDI , mbona Jiwe alihutubia kanisani na kudhalilisha maaskofu , hilo hukuliona ?View attachment 2158437
View attachment 2158437
View attachment 2158442
Hii ndio hafla ya Kanisani leo ya kumpokea mbowe.
View attachment 2158438
Kijana jikite kwenye Kinyesi cha mifugo mto Mara , haya mengine huyaweziYaaani huyu jamaa sheeda kanisa hili liko majaribuni
Walivaa wakiwa kanisani?Hata Mrema na Mwalumu Nyerere, walivaa barakashia. Hilo ni vazi tu.
Alienda na wanaccm wenye sare?