Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini...

Huna hoja kajipange upya.
 
Wewe ulifundishe Kanisa jinsi ya kujiendesha kama sio wehu ni nini hii?
Ukiona jambo umelufanya ccm wakakerema shikilia hapo hapo hawajawahi kuwaga watu wazuri hawa hata kidogi
 
Tumeshafika sehemu ya kuwapangia watu wavae vipi kwenye makanisa yao na imani zao! Kila mtu ana uhuru wake na kanisa lina sheria zake. Rais Samia naye atafanya kwa imani yake.
Jumapili (jana) kuna watu walivaa jezi za Yanga Kanisani. Vipi hapo Wakuu, mwongozo wenu basi!
 
Mbowe hajafanya kosa lolote kaenda kanisani
 
Kwa sababu ya viongozi wa makanisa wasiojitambua lakini ndio anguko lake la milele anajiona ameshinda anatukana mtu asiyekuwepo kujitetetea akimwacha aliye hai kwa kuogopa kurejeshwa kwenye kizuizi cha kisaikolojia
 
Sijui kuhusu ukabila na udini lakini ingekuwa vema ungeweka hapa hiyo speech kuwa wkt wa jpm. Kama ni video au picha.
Na alisema akiwa wapi na akifanya nn alitoa hiyo kauli?
Kuna watu hamjawahi kumaliza shule. Unapoambiwa kitu, tafuta mwenyewe ili uongeze ufahamu. Badala yake unampa shida aliyekudokeza ili yeye alete ushahidi. That's not helpful for your brain.

Angalia na usikilize hii;

Your browser is not able to display this video.
 
Too much misinformation too much rumors too much chawa.
Is why nikauliza. Now huku si chuoni where unapewa half news halaf zingine ujitafutia hatupo chuo hapa.
You have evidence weka hapa,si kujifanya mwana philosophy for simple question which require simple answers.
 
Mleta mada mbona una muwasho sana?
Nini shida aisee?
Funguka tukutatulie shida zako.
 
Nonsense
Umeandika hadithi ya alfu ulelaulela
 
Kama anaendelea na Siasa zake za kumdhihaki na kumdhalilisha Magufuli (RIP) hafiki popote labda tu kama anatafuta Ubunge wa Hai lkn kama ni kwa Tanzania nzima, no chance!
Unateseka?
 
Viongozi wengi wa kanisa hili tumelipigia kelele sana humu kanisa ni neutral ground haitakiwi kuruhusu sare za vyama kuingia hata ziwe za CCM lakini KKKT kilimanjaro wameweka pamba masikioni

Katoliki na makanisa mengi nje ya KKKT wamelithibiti hilo mno

Wachaga wabishi hadi maaskofu wao
 
Mwendawazimu!!!! Angeline Mabula alikuja kanisani na wafuasi wake kutoa shukrani wamevaa nguo za CCM katika Kanisa Katoliki la Kirumba baada ya kuteuliwa kuwa waziri kamili. Hapo hakuna shida.
Mimi CCM kama kweli huyo padri aliruhusu hill akili hana na hajui dini
Kanisani ni neutral place apewe onyo
 
Sorry kanisa katoliki baadhi ya majimbo wanaruhsuu mpaka wabunge wanaingia na sare za ccm.
Sitetei hivi vitendo. Ila hata rais aliepita alikuwa akipiga sana siasa madhabahuni na mapadre wako pale.

Mkukui kwa nguruwe mtam
 
Tumia KIswahili braza! Naomba nikusaidie. ili ujue tofauti yangu na wewe;
You wrote: You have evidence weka hapa,si kujifanya mwana philosophy for simple question which require simple answers.

I say: You have an evidence weka hapa,si kujifanya mwana philosophy for a simple question which requires simple answers.
 
KKT hawataweza kujiondoa kwenye ukabila. Hata wao wanapochagua viongozi wao ni ukabila tu! Wanahonga hata pesa ili wapate uaskofu. Ukiwaangalia maaskofu wastaafu wote ni matajili hadi wanajenga mahoteli. Huyo Shoo unayemsikia ni mpigaji ni hakuna. We muite umpe ahadi ya milioni 3, utashangaa anakuja na debe la maji ya baraka, eti kukumwagia.
 
Sorry siko interested na hizo siasa lakini sasa niseme tu mko so childish.
Kama vile ww ndio muanzilishi wa hilo kanisa nchini? [emoji1787][emoji1787]
Na ubaya wake umeanza kuonekana baada ya mbowe kutolewa.
Yaani wkt mbowe yuko gerezani hakukuwa na chambuzi za kijinga kama hizi.

Lets say mko right, fungulieni kesi wahusika pelekeni mahakamani badala ya kulalama huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…