Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Ulichofanya ni nothing but kurekebisha tu sentesi niliyoandika.Tumia KIswahili braza! Naomba nikusaidie. ili ujue tofauti yangu na wewe;
You wrote: You have evidence weka hapa,si kujifanya mwana philosophy for simple question which require simple answers.
I say: You have an evidence weka hapa,si kujifanya mwana philosophy for a simple question which requires simple answers.
We mwehu kwel,Mkuu, mimi nikuulize swali moja tu.
Kuna sheria yoyote iliyovunjwa hapo.
Ukisema, NDIYO, basi nakusihi usimlilie Mama Mzinguo, wahimize wanaotakiwa kusimamia sheria hiyo wachukue hatua.
Watu kama nyinyi ndio mnaoleta shari ndani ya nchi hii kwa kutozingatia matakwa ya sheria zilizopo, badala yake mnakimbilia Mwenyekiti wa CCM atunge sheria zake kukidhi mahitaji yenu. Ndiyo maana wengi wenu mlimpenda sana yule shetani.
Unataka na wewe nikutambue kuwa umo JF, maana naona unajitahidi sana. Ngoja tuone utakavyoendelea!We mwehu kwel,
Alpokua akifanya hivo JPM mlipiga sana kelele et anakosea, Leo magaidu wapumbav wenzako yanayolialia tu kutafuta huruma wamefanya Ivo et hawajavunja Sheria
Bro, acha wendawazim
Sio atatwaliwa kama alivyotwaliwa yule?Muda ni Mwl mzuri. Huyu gaidi lazima afungwe tu.
Wewe imekuathiri vipi?FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame
Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako
1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)
Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa
Mytake
1. Hivi leo mwenyekiti wa CCM Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa CCM hivi dunia itasema nini?
2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea
USHAURI KWA KANISA KKKT
1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya
-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo
- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?
2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all
3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?
USHAURI KWA MBOWE
Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari
USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA
Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema.
Nyuki kamwe hakumbatiwi
Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022
View attachment 2158282
View attachment 2158283
View attachment 2158284
View attachment 2158285
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Hoja ameshaitoa mtoa mada tayari, wa kuijibu ni wewe....kitu ambacho haujafanya mpaka sasa. Mi nikikuwa nakazia kwa mifano hai tu.Hoja hujiwa kwa hoja sio miguvu
Kabisa yaani, hawa tamanio lao na malengo yao makuu ni hilo, kumfelisha. Awakenulie meno aone!!Mama hajaliona hili!..mama ajue hao wapo kazini na lengo Lao ni kumfelisha yeye na urais wake ili wao wapate cha kufanyia kazi huku mama akidhani kuwa anawatendea vyema!..
Muda ni Mwl mzuri. Huyu gaidi lazima afungwe tu.
Mbowe kakaa jela miezi nane kwa sababu ya siasa. Alipotoka jela kituo cha kwanza kilikuwa ikulu, walichoongea na Rais wanajua wao.FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA
Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame
Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako
1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)
Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa
Mytake
1. Hivi leo mwenyekiti wa CCM Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa CCM hivi dunia itasema nini?
2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea
USHAURI KWA KANISA KKKT
1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya
-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo
- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?
2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all
3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?
USHAURI KWA MBOWE
Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari
USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA
Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema.
Nyuki kamwe hakumbatiwi
Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022
View attachment 2158282
View attachment 2158283
View attachment 2158284
View attachment 2158285
Umesahau ibada za Meko na Mpango? Naona siku hizi haonyeshwi maana ilikuwa shida tupu kila jumapili, so get used to it.FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Mtoa mada unaupungufu wa akili kwemye ubongo,
Wote tumekuwa tukishiriki kwemye ibada mbali mbali za harusi, misiba, na sherehe mbalimbali pasipo kujali dini rangi, kabila au chama cha siasa. Leo umeona shida watu hao kumsindikiza Mbowe?
Pili tumeona mara nyingi shughuli za kiserikali sio za kisiasa kujazana wanaccm na kupewa platform kuongea pasipo kupewa vyama vingine na wala hakujawahi kuwa na shida, leo unaona shida kwa Mbowe lo.
Wakati wa mwendazake tulizoea "double standard" sasa naona imeota mizizi
NImesema andika Kiswahili, kwani ni kosa? Kwa nini unalazimisaha lugha usiyoiweza? Nahisi najaribu kukunja samaki mkavu.Ulichofanya ni nothing but kurekebisha tu sentesi niliyoandika.
That doesnt make you special man
Kumbe unahisi. Nilidhani una uhakika, poleNImesema andika Kiswahili, kwani ni kosa? Kwa nini unalazimisaha lugha usiyoiweza? Nahisi najaribu kukunja samaki mkavu.
Umeandika: That doesnt make you special man
Andika hivi: That doesn't make you a special person
Hii ni kwa lugha ya mtaani angalau! Nikiendelea sana makosa ni makubwa maana we don't make a special person!
Detective J ulishapita CCP au huo U-Detective wa mtaani??kama ulipita Depo ipi,ulikaa Kombania gani,CA alikuwa nani,Commandant alikuwa nani na Force Number yako ni ngapi?Kumbe unahisi. Nilidhani una uhakika, pole