Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kuitumia Ibada ya Sadaka ya Shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa

Tumia KIswahili braza! Naomba nikusaidie. ili ujue tofauti yangu na wewe;
You wrote: You have evidence weka hapa,si kujifanya mwana philosophy for simple question which require simple answers.

I say: You have an evidence weka hapa,si kujifanya mwana philosophy for a simple question which requires simple answers.
Ulichofanya ni nothing but kurekebisha tu sentesi niliyoandika.
That doesnt make you special man
 
Mkuu, mimi nikuulize swali moja tu.

Kuna sheria yoyote iliyovunjwa hapo.

Ukisema, NDIYO, basi nakusihi usimlilie Mama Mzinguo, wahimize wanaotakiwa kusimamia sheria hiyo wachukue hatua.

Watu kama nyinyi ndio mnaoleta shari ndani ya nchi hii kwa kutozingatia matakwa ya sheria zilizopo, badala yake mnakimbilia Mwenyekiti wa CCM atunge sheria zake kukidhi mahitaji yenu. Ndiyo maana wengi wenu mlimpenda sana yule shetani.
We mwehu kwel,
Alpokua akifanya hivo JPM mlipiga sana kelele et anakosea, Leo magaidu wapumbav wenzako yanayolialia tu kutafuta huruma wamefanya Ivo et hawajavunja Sheria
Bro, acha wendawazim
 
Unataka na wewe nikutambue kuwa umo JF, maana naona unajitahidi sana. Ngoja tuone utakavyoendelea!
 
Uwezo wako wa kufikiri ndio umeishia hapa kweli? Dah Tanzania yangu
 
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame

Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako

1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)

Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa

Mytake
1. Hivi leo mwenyekiti wa CCM Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa CCM hivi dunia itasema nini?

2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea

USHAURI KWA KANISA KKKT
1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya

-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo

- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?

2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all

3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?

USHAURI KWA MBOWE
Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari

USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA
Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema.

Nyuki kamwe hakumbatiwi

Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022

View attachment 2158282

View attachment 2158283

View attachment 2158284

View attachment 2158285
Wewe imekuathiri vipi?
 
Wala usitumie nguvu
Wala usihuzunike
Wala usiwalaumu
Wala usiwaonee wivu
Waache waendelee kufanya mambo yao. Maana kwa kufanya hivyo wanakuwa wamejitia alama kuwa wao ni watu wa namna gan!!

KKKT inakubali kutumika kuw kichaka cha wana siasa. Wasipoangalia watapoteza sifa nzuri waliokuwa nayo kwamba wao hawana chama.

Hebu angalia katika picha, nguo walizovalia. Hebu chunguza zaidi alama wanazoonesha ya vidole viwili. Tangu lini KKKT wakawa na ishara ya aina hiyo!!??

KKKT mjitathmini na kujichunguza. Vinginevyo mtatiwa alama na watu wanaoshuhudia.
 
Mama hajaliona hili!..mama ajue hao wapo kazini na lengo Lao ni kumfelisha yeye na urais wake ili wao wapate cha kufanyia kazi huku mama akidhani kuwa anawatendea vyema!..
Kabisa yaani, hawa tamanio lao na malengo yao makuu ni hilo, kumfelisha. Awakenulie meno aone!!
 
Mtoa mada unaupungufu wa akili kwemye ubongo,
Wote tumekuwa tukishiriki kwemye ibada mbali mbali za harusi, misiba, na sherehe mbalimbali pasipo kujali dini rangi, kabila au chama cha siasa. Leo umeona shida watu hao kumsindikiza Mbowe?

Pili tumeona mara nyingi shughuli za kiserikali sio za kisiasa kujazana wanaccm na kupewa platform kuongea pasipo kupewa vyama vingine na wala hakujawahi kuwa na shida, leo unaona shida kwa Mbowe lo.

Wakati wa mwendazake tulizoea "double standard" sasa naona imeota mizizi
 
Muda ni Mwl mzuri. Huyu gaidi lazima afungwe tu.

Tujifunze nchi nyingine Warlords walivyo anza. Mbowe katika walinzi wake wako ex jewii komandos watatu aliokuwa nao jela. Hawa wanaolindwa na mabausa nao wataanza kutafuta ex komandos kama mbowe. Ex komando hao watatumika kufundisha wafuasi wengene wa hivi vyama utaalamu wa ujeda. Mwisho wasiku Tanzania tutaishia na wababe wajulikanao kama warlords. Sina hakika kama uko utaratibu wa kisheria wa kuwadhibiti hawa makomandoo wanapo achana na jeshi kwa sababu yeyote ile ikiwemo kustaafu.

Na wenye dhamana ya kutuongoza sijui wanaona hatari iliyo mbele ya Taifa hili kama huu utaratibu utachiwa uendelee na kuota mizizi.
 
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame

Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako

1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)

Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa

Mytake
1. Hivi leo mwenyekiti wa CCM Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa CCM hivi dunia itasema nini?

2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea

USHAURI KWA KANISA KKKT
1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya

-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo

- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?

2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all

3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?

USHAURI KWA MBOWE
Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari

USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA
Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema.

Nyuki kamwe hakumbatiwi

Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022

View attachment 2158282

View attachment 2158283

View attachment 2158284

View attachment 2158285
Mbowe kakaa jela miezi nane kwa sababu ya siasa. Alipotoka jela kituo cha kwanza kilikuwa ikulu, walichoongea na Rais wanajua wao.
Mzee Rugemalila alipofutiwa kesi kituo cha kwanza bila kubadili mavazi kilikuwa kanisani.
Nini tofauti kati yao?
Mbowe ni mwanasiasa na ndani yake kuna utawala.
Rais anamfuatilia Mbowe zaidi kuliko Mzee Rugemalila. Nyuma ya Rugemalila ni familia yake,na nyuma ya Mbowe ni familia na kundi kubwa sana la wanasiasa na wasio wanasiasa japo wanapenda siasa.
Mkristo au msharika anapotoa taarifa ya kusudio la kutoa shukrani maalum kanisani,hakuna anayehangaika kujua watakujaje,maana siyo jukumu la kanisa.
Kilicho muhimu ni mkristo mwenyewe, aelewe nini maana ya sadaka yake.
Dini inabebwa na imani kama ilivyo kwenye siasa.
Mama yetu Samia huvaa mavazi yenye msukumo wa dini nyuma yake.
Hatugombani naye kwa kuwa hatudhuriki na mavazi yake.
Makanisani watu huvaa mpaka majezi yanayoashiria mapenzi ya timu fulani, je wakataliwe kuingia kanisani kwa hofu ya kuwakwaza waumini wenye mapenzi tofauti?
Imani hukaa moyoni na siyo kwenye mavazi.
Na isitoshe makanisa hayamchagulii muumini aina ya nguo ya kuvaa isipokuwa yawe mavazi ya staha. Wamasai wanaingia makanisani na mavazi yao ya kimila, hakuna anayehangaika nao.
 
FREEMAN MBOWE UMEANZA TENA

Leo jumapili Terehe 20/03/2022 Mwenyekiti wa chadema Ndugu Freeman Mbowe aliungana na familia yake na wafuasi wake kutoa sadaka ya SHUKURANI katika kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, ushariki wa Nshara machame

Kuna baadhi ya mambo yamenza kuonekana ambayo hayana dalili nzurii tuendako

1. Mbowe kwa kujua au kutokujua ameamua kulitumia tukio la sadaka ya shukrani kama sehemu ya mkutano wake wa siasa, akiwa na kundi la wanachama wake waliamua kwa makusudi kabisa kuvaa sare za chadema na wengine kuvaa kofia zisizo rasmi kanisani na kufanya ibada ambayo mavazi yao hayakuwa ya uchaji Mungu zaidi ya mavazi ya mikutano ya kisiasa (tazama ushahidi wa picha chini)

Tazama kianbatanisho cha picha za kanisani na nje ya lango kuu la kanisa

Mytake
1. Hivi leo mwenyekiti wa CCM Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema anakwenda kutoa sadaka ya SHUKURANI msikitini na kuchukua maelfu ya wanachama wa CCM hivi dunia itasema nini?

2. Mbowe asidhani Mhe Rais Samia hajui anachofanya, narudia kusema acha wakati utaongea

USHAURI KWA KANISA KKKT
1. Askofu Mkuu wa kkkt Tanzania Dkt. Shoo ambae pia ni askofu wa dayosisi ya kaskazini ambako tukio hili liketokea leo tunaomba ujitafakari sana na mwenendo wa Mbowe ambae siku zote amekuwa akilitumia kanisa vibaya

-Mkuu wa jimbo la Hai Mchungaji msomi Biniel Maliyo usikubali jimbo lako kutwezwa na kutumiwa na wana siasa hata kama kuna shinikizo kutoka kwa Askofu wako simama katika
nafasi yako mana vyeo huja na kupita ila utukufu wa Mungu upo

- Sijawai kuona Mhe. Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe akienda kanisani na wanachama wa ccm wakiwa wamevaa nguo za kijani leo iweje tukio hili liwezekane kwa chadema ibadani?

2. Mbowe amekuwa akitumia kivuli cha kanisa kufanya siasa za hila mfano alipotoka gerezani alikwenda kanisani KKKT usharika wa Azania front na kuongea maneno ambayo hayakuwa ya kimadhabauni at all

3. Askofu Shoo anapaswa kutambua miongoni mwa waumini wa kkkt wapo pia wa vyama vingine leo ccm wakiamua kwenda kusali na mavazi ya kijani itakuwaje si ni vurugu?

USHAURI KWA MBOWE
Huu ni wakati wako wa kutulia na kutafakari hatima ya maisha yako kisiasa na kifamilia, unapotoka katika changamoto kubwa unashauriwa ujipe muda wa kutulia na kutafakari sana mana ni katika kipindi hiki unaweza kufanya mambo ya ajabu zaidi ukawa kituko zaidi, jipe muda tulia tafakari

USHAURI KWA WASAIDIZI WA RAIS SAMIA
Naomba mumshauri Mhe Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na dhamira yake nzuri ta kutengeneza mazingira wezeshe ya kufanya siasa nchini atambue wako binadamu kamwe hata ukiwatengeneza mazingira mazuri watayaharibu wenyewe kwa makusudi, ni wakati sasa wa Mhe Rais kuwa macho na watu wasiolitakia taifa mema.

Nyuki kamwe hakumbatiwi

Makala na
Mangi kiongozi
Narumu machame
20/03/2022

View attachment 2158282

View attachment 2158283

View attachment 2158284

View attachment 2158285
Umesahau ibada za Meko na Mpango? Naona siku hizi haonyeshwi maana ilikuwa shida tupu kila jumapili, so get used to it.
 
Mtoa mada unaupungufu wa akili kwemye ubongo,
Wote tumekuwa tukishiriki kwemye ibada mbali mbali za harusi, misiba, na sherehe mbalimbali pasipo kujali dini rangi, kabila au chama cha siasa. Leo umeona shida watu hao kumsindikiza Mbowe?

Pili tumeona mara nyingi shughuli za kiserikali sio za kisiasa kujazana wanaccm na kupewa platform kuongea pasipo kupewa vyama vingine na wala hakujawahi kuwa na shida, leo unaona shida kwa Mbowe lo.

Wakati wa mwendazake tulizoea "double standard" sasa naona imeota mizizi

Kwa hiyo siku hizi kuweka vidole viwili juu ni ishara ya msalaba ya KKKT!!!?
 
Ulichofanya ni nothing but kurekebisha tu sentesi niliyoandika.
That doesnt make you special man
NImesema andika Kiswahili, kwani ni kosa? Kwa nini unalazimisaha lugha usiyoiweza? Nahisi najaribu kukunja samaki mkavu.

Umeandika: That doesnt make you special man
Andika hivi: That doesn't make you a special person
Hii ni kwa lugha ya mtaani angalau! Nikiendelea sana makosa ni makubwa maana we don't make a special person!
 
Kumbe unahisi. Nilidhani una uhakika, pole
 
Back
Top Bottom