Red sky
Member
- Jul 1, 2024
- 17
- 34
Nikiwa kama mfatiliaji mkubwa wa mambo ya kisiasa nchini ningepeda pia nitoe ushauli kwa Mwenyekiti CHADEMA Tanzania Mh Freeman Mboe, huu ndo wakati sahihi wakupumzika majukumu makubwa ya uenyekiti.
Ikumbukwe mpaka sasa wewe ndo Kiongozi bola zaidi wa nafasi hiyo kwa vyama vyaupinzani Tanzania tokea mfumo wa vyama vingi uanzishwe, ila pia huu ndo wakati ambao ukiondoka uenyekiti kuna mtu ambae anaweza kushika nafasi hiyo na kuimudu, ikumbukwe kua nafasi hiyo ni nyeti sana kanakwamba si kila mtu anaweza kuishika na kwasasa Makamu wako anaweza kuimudu. Endapo utachagua Ushauli wa familia yako na Ukamuunga mkono Makamu wako natumai Chama kitasonga mbele zaidi ya hapa kilipo, kumbuka ukiondoka bado chama cha motomoto kitaendelea kukua zaidi.
Usitake mpaka Uzeekee kwenye chama ruhusu na fikla zingine ziendeleze.
Acha ushauli wa hao baadhi ya wanachama fuata ushauli wa familia yako kwa maslahi ya Chama na Taifa kwa Ujumla.