johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
mropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropokaKichwa cha Habari ndio Habari yenyewe
Mawakili 400 hadi Bingwa kujitetea mwenyewe kama Mwana wa Adam mbele ya Pilato
Ila Chadema πΌ
mropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropokam
Maskini umegeuzwa msukulemropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropoka
KIchwa ya Lissu ni mara 1000 ya kile kichwa kinachoshikiwa remote.Kichwa cha Habari ndio Habari yenyewe
Mawakili 400 hadi Bingwa kujitetea mwenyewe kama Mwana wa Adam mbele ya Pilato
Ila Chadema πΌ
Mropokaji Lissu amefikia hatua hamuamini Wakili yoyote zaidi yake mwenyewe! Ahahahahaha!!mropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropoka
Wewe ulichechemuka ukiwa wapi kutokana na kauli ya TAL?π€£π€£π€£mropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropoka
Nakuletea Pipi kijiti Mtoto wa shule,ili utulie darasani.Mropokaji Lissu amefikia hatua hamuamini Wakili yoyote zaidi yake mwenyewe! Ahahahahaha!!
Fuateni sheria. Yeye anazijua sheria ila nyinyi mliozitunga mnashindwa nikuzifuata. Kuanzia sasa nitakuwinda ili nipate kichwa chako. Nakujua vizuri. Jua hili kama utaenda kwa mabwana zako policcm nenda ukawape taarifa hii ili wafanye doria kila utakapokuwa jitahidi uwe na walinzi.mropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropoka
Kuropoka ni Uhaini? Nini maana ya tutakinukisha?mropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropoka
Mropokaji Lissu amefikia hatua hamuamini Wakili yoyote zaidi yake mwenyewe! Ahahahahaha!!
mropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropoka
Mbowe na genge lake la viongozi wa Chaumma ndiyo mashahidi wa siri walioandaliwa na dola kumuangamiza Lissu.
eti ameanzisha mtindo wa mayowe mahakamani akadhani kesi itasimama πWewe ndio mropokaji. Lissu alishasema kama kumnyonga wamnyonge haogopi.
Inategemea umeropoka nini kwa mihemko na kiburi kinachokiuka sheria za nchi gentleman πKuropoka ni Uhaini? Nini maana ya tutakinukisha?
sheria zinafuatwa na kuzingatiwa vyema sana mahakamani na duniani nzima inashuhudia.Fuateni sheria. Yeye anazijua sheria ila nyinyi mliozitunga mnashindwa nikuzifuata. Kuanzia sasa nitakuwinda ili nipate kichwa chako. Nakujua vizuri. Jua hili kama utaenda kwa mabwana zako policcm nenda ukawape taarifa hii ili wafanye doria kila utakapokuwa jitahidi uwe na walinzi.
kauli ya uropokaji unaokiuka sheria sio, na ambayo inamsotesha korokoroni hivi sasa?πWewe ulichechemuka ukiwa wapi kutokana na kauli ya TAL?π€£π€£π€£
Labda wewe ukawe sehemu ya wakili upande wa mashitaka ndiyo mtampata na hatia itayopelekea anyongwe πmropokaji anaogopa kunyongwa eti kwakua tu aliropoka