Mbowe kwenye Kesi ya Ugaidi alitetewa na Mawakili karibia 400 ila Tundu Lisu anajitetea Mwenyewe, Chadema ina Hazina ya Weledi!

Labda wewe ukawe sehemu ya wakili upande wa mashitaka ndiyo mtampata na hatia itayopelekea anyongwe πŸ˜ƒ
king nasoro anatosha kuthibitisha pasina shaka kwamba mropokaji ana hatia na anastahili haki mahususi ya kisheria gentleman πŸ’
 
Niwe mkweli huna hadhi ya kujilinganisha na Lissu. Kama unabisha kubali kupigwa risasi moja na ukipona kakae rumande mwezi mmoja tu Tena kwa wafungwa wanaosubiri kunyongwa. Ukifankisha hivyo angalau nitakufiria kuanza kumsema Lissu.
Umeongea kwa busara deep sana. Huyo jamaa na ukoo wake wote hawana ujasiri, uthubutu, ustahimilivu na akili aliyonayo TAL.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…