Mbowe: Lema anajisahau, hana mamlaka yoyote kwenye chama

Mugabe haaminiki maana hatuambii atafanya nini ili tumpe uongozi, bali anashambulia watu badala ya kujibu hoja.

Mahitaji ya kizazi hiki ni tofauti na yale ya kizazi cha 1990
hahahahahahahahahahahaa.....
 
Nkuruzinza AYATOLLAH DIKTETA Mugabe Museveni Aikaeli MBOWE Must Go
 
Wakiongea wanachama wanaomsapoti anafurahia, ila wanachama wake ambao hawamuungi wakisema anawaona wabaya 😂 huyu mume wa Erythrocyte atupishe tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…