Hata mwenzake Msigwa aliwahi sema hivo kuwa mpaka alipewa ubunge na uwaziri hakakataa, Sasahivi yuko CCM tena bila cheo chochote kila siku yuko majukwaani hakinadi CCM na Samia aliokuwa anawakandia.Lissu amesema vizuri kwenye interview zake kuwa wanasiasa ni waongowaongo, anaweza kukuambia hiki mkiachana anarudi kulekule.Mbowe kama aliwahi kukataa hizo hofa alipima maslahi kwasababu yeye ndiye mmiliki wa Chadema ana maslahi makubwa kuliko hivyo vyeo,hapa Tanganyika hakuna mwanasiasa anayeweza kukataa hiyo hofa labda Malhalim Sefu ambaye Sasahivi ni marehemu.