OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Sera zake ni zipi? Ataenda kufanya nini kipyaNimemsikia mpaka saa 3:00.
Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise. Siyo mtu wa jazba, kuropoka na matusi.
Mitano tena kwa FAM
Tupo wengi sana, mfano LISSU, WARIOBA,MIMI,N.K.Hata mwenzake Msigwa aliwahi sema hivo kuwa mpaka alipewa ubunge na uwaziri hakakataa, Sasahivi yuko CCM tena bila cheo chochote kila siku yuko majukwaani hakinadi CCM na Samia aliokuwa anawakandia.Lissu amesema vizuri kwenye interview zake kuwa wanasiasa ni waongowaongo, anaweza kukuambia hiki mkiachana anarudi kulekule.Mbowe kama aliwahi kukataa hizo hofa alipima maslahi kwasababu yeye ndiye mmiliki wa Chadema ana maslahi makubwa kuliko hivyo vyeo,hapa Tanganyika hakuna mwanasiasa anayeweza kukataa hiyo hofa labda Malhalim Sefu ambaye Sasahivi ni marehemu.
Hii Haijustify kukaa milele kama mwenyekiti.. huyu anazeekaje!?View attachment 3197184
"Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu"
"Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman Mbowe
Sultan mwongo sana anamsingizia Marehemu sasa.View attachment 3197184
"Akaniambia Mbowe achana na CHADEMA, kwa sababu alinisukuma sana nihamie CCM nikamwambia hilo katu sitaweza kwenye maisha yangu"
"Akinipelekea ujumbe nikiwa gerezani akaniambia achana na Chadema nitakurudishia mali zako zote zolizochukuliwa na utake biashara au cheo chochote nitakupa" - Freeman Mbowe
Siku hizi kuusema ukweli mchungu hadharani huitwa kuropoka.Nimemsikia mpaka saa 3:00.
Amekidhi haja kwa majibu yake. Composed, not emotional and very wise. Siyo mtu wa jazba, kuropoka na matusi.
Mitano tena kwa FAM
Tumbo lako ndiyo linamhitaji.Taifa zima linamhitaji Freeman Mbowe kuwaongoza hatutaki mtu mwingine. Halafu Mbowe sio mtu wa kuwek kwenye mizani moja na Lissu!
Mbona Samia Suluhu ameweza? Hiyo habari ya Magufuli ni uongo wa huyu tapeli tu kwa vile anajua Magu hayupo kujiteteaWe unazan hilo ni rahis tu,yaan image aliyoitengeneza kwa miaka yote hyo kwa upande wa mageuzi afu leo mjinga mmoja ampeleke ccm hata wananchi wasingeelewa
Magufuri alitaka kufanya visivyowezekana
Una wasiwasi na sera za FAM? Mbona hilo halina shidaSera zake ni zipi? Ataenda kufanya nini kipya
Lissu siyo mzima. Athari za risasi anayoishi nayo mwilini inafika mpaka kwenye ubongoSiku hizi kuusema ukweli mchungu hadharani huitwa kuropoka.
Sema ninayemtaka siyo tunayemtaka, unamtaka wewe na ndugu yako nani?Huyu ndiye kiongozi tunaemtaka: Freeman Aikael Mbowe!
Halafu akalegea kiukainiakaja akalegeza kwa mama