Museveni amewahi ulizwa mbona umekaa sana madarakani unatakiwa kuondoka sasa upishe damu mpya
Akajibu kuwa amepigana vita msituni kwa zaidi ya muaka 30 akilala porini hakuna mwandishi wa habari au yeyote akiwahi mtaka atoke msituni apishe wengine
Kagame,Museveni na Mbowe ruksa kuendelea kuongoza vyama vyao na serikali
Mbowe nakuapisha kwa jina la Yesu usischie Chadema kwa wahamiaji akina Lisu waliokutq chama tayari kimeshajijenga wanakuja tu kula mema ya nchi ,posho na ruzuku
Nawasihi wajumbe cheo cha mwenyekiti msikabidhi wahamiaji wawindq fursa akiwemo Lisu na genge lake
Uenyekiti ubaki kwa akina Museveni, Kagame na Mbowe hadi wenyewe tu waamue kuacha wakabidhi wamtakaye
They have suffered a lot ndio maana hujitoa sana kifedha nk kuhakikisha chama kinaenda na nchi zao zinaenda tofauti na akina Lisu waja tu kufaidi pesa za chama wakati kuchangia chama wako zero
Nasena Mbowe mitano teno huyo mbelgiji aende zake huko