Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Uongo, wapuuzi ni watu wanaoamini mtu mmoja dikteta katiki na muoga wa hoja asiye na maarifa ya uongozi mwenye kutumia nguvu zaidi ya akili angeweza kuibadilisha hii nchi.
Wale jamaa ni wapuuzi sana huwa wanashabikiaga kila kitu na vigeugeu haswa
 
Yani mngejua mimi binafsi niko na amani ya moyo ni kama vile nilikuwa nimeninginizwa kwenye mti na kamba alaf ikakatika pwaaaaaah nadhani unajua ahueni yake iliyoko hapo
 

Kwenye post nyingine kuna weza kuwa na hoja za hapa na pale, lakini hiki ulichosema kwenye hii post, ni bora ungekaa kimya tu. Tatizo lilikuwa ni kushinda au ni kutangazwa mshindi?
 
Watoto wa kambo wako poa Sana kuliko wale wa ukoo wake maana ni wanafiki tu wao wapo tekelezewa mahitaji yao na mwisho wamtose,namshauri akawajali Sana watoto wa kambo ipo siku watamsadia Sana ,wa ukoo wake hamna kitu ,
 
Wewe hukumkosoa ulimshawishi hata pale alipopinga sayansi at watu wasivae Barakoa na kuwananga makamanda ati korona ipo au haipo
JPM hakuwahi kukataza watu kuvaa barakoa bali alisisitiza tuvae tulizozitengeneza wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…