Tembosa
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,487
- 3,978
Aika mbeCheki post namba 17 kwa tafsiri fupi ya Kiswahili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aika mbeCheki post namba 17 kwa tafsiri fupi ya Kiswahili.
By default mtu kuzungumza au kutoa opinion zake ni haki ya msingi kikatiba, na pengine huwezi kujua mtu analenga kuzungumza nini bila ya kumpa nafasi kwanza mpaka atakapohitimisha kuzungumza lile alilokusudia.Mkuu,
Hizi nyingine ni changamoto ujiongeze.
Ila sintooenda ukose mazungumzo kwa sababu ya lugha tu. Naweka hapa tafsiri fupi.
Kifupi swali ni kwamba, je, Mbowe alivyomtetea Masauni aongee katika msiba wa Ali Mohammed Kibao, Mbowe alikuwa kafanya sawa na huo ni ustaarabu mzuri tu kwa mwanasiasa mzalendo mwenye hekima, hatutakiwi kukatazana kuongea kwenye misiba kwa sababu za kisiasa, au alikosea na alipoteza nafasi adimu ya kuwatenga na kuwaumbua wauaji wa CCM na machawa wao?
usiwaze mkuu. nimeuelewa ujumbe, mimi kiingereza kinapanda, nilikuwa nachangamsha uzi tu.Ona post namba 17 kwa tafsiri mkuu.
Kumradhi kwa Kiingereza.
Nimekuelewa na kukubaliana na mengi uliyoyasema.By default mtu kuzungumza au kutoa opinion zake ni haki ya msingi kikatiba, na pengine huwezi kujua mtu analenga kuzungumza nini bila ya kumpa nafasi kwanza mpaka atakapohitimisha kuzungumza lile alilokusudia.
What if Masauni angesema kuwa Wauaji wa ndugu Kibao wameshakamatwa? Hizo huenda zingekuwa habari njema kwa wale wafiwa waliojawa hasira , lakini pamoja na hakuyasema hayo ambayo wengi wangependa kuyasikia bado tunaona mtu kupewa nafasi ya kuzungumza ni jambo la msingi.
Hakuna asiyefahamu kuwa watu wamehawa hasira lakini pamoja na hilo bado watu wazungumze whether hilo jambo litakufurahisha au Hapana.
Aah,usiwaze mkuu. nimeuelewa ujumbe, mimi kiingereza kinapanda, nilikuwa nachangamsha uzi tu.
hapo kwenye dua watu ndo walishikwa na hasira zaidi waliona ni unafki wa dhahiri shairi.....lakini katika yote kwa utimamu wako unaamini hili masauni alikuwa hajui au katika hivi vioja vya watu kutekwa je unaamini waziri wa mambo ya ndani hajui akiwa na accessibility ya intelligence in front of him unadhani hajui amka acha kujidanganya hawa wanaelewa kila kitu kinachoendelea ila wao ndo wanafanya dramaSawa,
Naelewa sana hoja yako. Mimi ni muumini wa uhuru wa kujieleza. Kanuni zangu za libertarianism zinanifanya nikubaliane na maoni yako.
Lakini pia, kuna mambo mengi. Ule ulikuwa msiba, watu waliokuwa katika msiba wameripoti kwamba famikia ya marehemu ina watu wengi wa CCM, na kwamba isingekuwa sawa kwenda kinyume na natakwa ya watu wa famikia ya marehemu waliotaka Masauni anbgee.
Katika muktadha kama huo, bado unaona Mbowe aliharibu kwa kutaka Masauni apewe nafasi kuongea?
Huoni kwamba ni busara kumuacha mtu aseme halafu kama unapingana na hoja zake uzipinge hoja? Hususan katika hali kama ya msiba ambapo Masauni alisema yeye anapiga dua tu, watu wanakataa mtu kupiga dua msibani, katika msiba ambao si wa familia yao na wanafamilia wameruhusu dua hilo?
Kumbe ukipigwa ung’eng’e mzee akili zinakuwa zipo sawia 😀😀😀It is very unfair to politicise these abductions and killings because when we allow it to happen we make them thugs triumph.
Just recalling the Covid 19 waves!!
Mkuu,hapo kwenye dua watu ndo walishikwa na hasira zaidi waliona ni unafki wa dhahiri shairi.....lakini katika yote kwa utimamu wako unaamini hili masauni alikuwa hajui au katika hivi vioja vya watu kutekwa je unaamini waziri wa mambo ya ndani hajui akiwa na accessibility ya intelligence in front of him unadhani hajui amka acha kujidanganya hawa wanaelewa kila kitu kinachoendelea ila wao ndo wanafanya drama
Ndio maana waliofika msibani wakaamua kuonyesha reaction zao moja kwa moja wakati Masauni anapewa mic azungumze, hiyo inaonyesha wazi kuwa raia hawana tena imani na hawataki kusikiliza tena lolote kutoka kwa viongozi ambao wanaonekana hawatekelezi wajibu waoNimekuelewa na kukubaliana na mengi uliyoyasema.
Lakini pia, huoni kwamba Masauni ni msanii tu aliyekuwa anatumia msiba ambao kama waziri alikuwa na wajibu wa kuuzuia, lakini yeye akautumia kujikosha.
Huyu si msanii aliye downplay utekaji kwa kusema kuna matukio "nane tu"?
Huoni kwamba hizi diplomasia na siasa za ustaarabu zina mwisho wake na kuna wakati watu waseme kama mbwai mbwai tu, hawa wauaji na viongozi wanaowalinda wote watengwe na jamii hata kwenye misiba wasiruhusiwe kusema?