Mbowe, Masauni, political funerals and the limit of civility

By default mtu kuzungumza au kutoa opinion zake ni haki ya msingi kikatiba, na pengine huwezi kujua mtu analenga kuzungumza nini bila ya kumpa nafasi kwanza mpaka atakapohitimisha kuzungumza lile alilokusudia.


What if Masauni angesema kuwa Wauaji wa ndugu Kibao wameshakamatwa? Hizo huenda zingekuwa habari njema kwa wale wafiwa waliojawa hasira , lakini pamoja na hakuyasema hayo ambayo wengi wangependa kuyasikia bado tunaona mtu kupewa nafasi ya kuzungumza ni jambo la msingi.


Hakuna asiyefahamu kuwa watu wamejawa hasira na ghadhabu lakini pamoja na hilo bado watu lazima wazungumze whether hilo jambo litakufurahisha au Hapana.
 
Nimekuelewa na kukubaliana na mengi uliyoyasema.

Lakini pia, huoni kwamba Masauni ni msanii tu aliyekuwa anatumia msiba ambao kama waziri alikuwa na wajibu wa kuuzuia, lakini yeye akautumia kujikosha.

Huyu si msanii aliye downplay utekaji kwa kusema kuna matukio "nane tu"?

Huoni kwamba hizi diplomasia na siasa za ustaarabu zina mwisho wake na kuna wakati watu waseme kama mbwai mbwai tu, hawa wauaji na viongozi wanaowalinda wote watengwe na jamii hata kwenye misiba wasiruhusiwe kusema?
 
usiwaze mkuu. nimeuelewa ujumbe, mimi kiingereza kinapanda, nilikuwa nachangamsha uzi tu.
Aah,

Umenichemsha bure tu. Nikaona hiki Kiingereza cha gengeni nacho kishawatoa watu katika reli? Kumbe unanichora tu?

Wewe basi nitakuletea kilatini siku nyingine πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hapo kwenye dua watu ndo walishikwa na hasira zaidi waliona ni unafki wa dhahiri shairi.....lakini katika yote kwa utimamu wako unaamini hili masauni alikuwa hajui au katika hivi vioja vya watu kutekwa je unaamini waziri wa mambo ya ndani hajui akiwa na accessibility ya intelligence in front of him unadhani hajui amka acha kujidanganya hawa wanaelewa kila kitu kinachoendelea ila wao ndo wanafanya drama
 
It is very unfair to politicise these abductions and killings because when we allow it to happen we make them thugs triumph.
Just recalling the Covid 19 waves!!
Kumbe ukipigwa ung’eng’e mzee akili zinakuwa zipo sawia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu,

Hapa nafanya "abstract thinking exercise" kwa kuangalia mada kutoka pande zote mbili.

Hata ukiangalia nilivyoandika original post na ninavyojibizana na watu, kama unajua kisoma kwa ufahamu, utaona hilo.

Mfano angalia post #24 nilivyomsema Masauni baada ya mtu kutetea Masauni kuachiwa nafasi ya kuongea.

Sasa kwa nini umenipa upande tayari?

Just an abstract thought, usinishambulie kwa kumtetea Masauni, hii ni abstract thought, mental exercise.

Unaelewa kwamba inawezekana kabisa kuwa haya mambo hata kama yanafanywa na serikali inawezekana yanaratibiwa na TISS, na Wizara ya Mambo ya Ndani/Polisi wanarukwa kabisa wao wanasikia matukio tu, TISS wanafanya kwa utaratibu wao tofauti ambao haupitii Wizara ya Mambo ya Ndani kabisa?
 
Ndio maana waliofika msibani wakaamua kuonyesha reaction zao moja kwa moja wakati Masauni anapewa mic azungumze, hiyo inaonyesha wazi kuwa raia hawana tena imani na hawataki kusikiliza tena lolote kutoka kwa viongozi ambao wanaonekana hawatekelezi wajibu wao
 
due to this lack of rainfall in almost every part of Northern and Eastern Tanzania. This country will face one of the biggest food crises in the year 2025.
Drought is on rampage,it kills every living crops in farms.
Our religious leaders must also Chanel their energy to pray for the rain, not only reciting ALBADILI.

IN OTHER HAND:- Soon Mbowe will be labeled as a Seller out..why did he stop people from Mob justicing MASAA YAUNI?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…