Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

Kwa hiyo Kikwete aliposema ndugu wamerekani wenzetu, Kikwete ni mmarekani?

Mama Samia alipokutana na wakristo alisema ndugu wakristo wenzangu kwa hiyo Rais Samia ni mkristo?

Jifunze matumizi ya Fasihi na Sarufi
Wenzetu na wenzangu ni sawa?
 
Kwa uelewa wako huu Hakika mfumo wetu wa elimu una shida

Mtu mzima na familia bado unashindwa kuelewa video, Je ingekuwa maandishi si ungepagawa kabisa

Ningekuwa karibu na wewe Hakika ningekutandika viboko mbele ya mkeo na watoto wako

Kama unashindwa kuelewa video ya dakika moja utaweza elewa hotuba ya mfumuko wa bei ya dk kumi na tano

Nchi hii kuna mbumbu wengi sana

Kuna watu JF mliwezaje kufaulu mitihani kama uelewa wenu ni finyu namna hii

Kwa akili hizi na wewe unaitwa Baba kwenye familia

Hakika mwanao ana kazi kubwa kukukomboa kifikra

Rais Samia anaposema ndugu wakristu wenzangu, Kwa hiyo Samia ni mkristo?
Lini Rais Samia alisema hivyo?
 
Mbowe anaitongoza ccm itoe katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi... sasa kwenye kutongoza huwa hatutumii ukali kama baadhi ya makabila ....

Team chadema ni TMK kiumeni... Lazima tupooze sauti jamani [emoji23][emoji23][emoji23] ... Au huko Team chawa mmezoea furugu ??? Basi safar hii tumeamua kuja kivingine
 
Mbowe anaitongoza ccm itoe katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi... sasa kwenye kutongoza huwa hatutumii ukali kama baadhi ya makabila ....
Team chadema ni Tmk kiumeni... Lazima tupooze sauti jamani [emoji23][emoji23][emoji23] ... Au huko Team chawa mmezoea furugu ??? Basi safar hii tumeamua kuja kivingine
Unamdanganya nani?
 
Back
Top Bottom