Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

Kwa hiyo Kikwete aliposema ndugu wamerekani wenzetu, Kikwete ni mmarekani?

Mama Samia alipokutana na wakristo alisema ndugu wakristo wenzangu kwa hiyo Rais Samia ni mkristo?

Jifunze matumizi ya Fasihi na Sarufi
Wenzetu na wenzangu ni sawa?
 
Lini Rais Samia alisema hivyo?
 
Mbowe anaitongoza ccm itoe katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi... sasa kwenye kutongoza huwa hatutumii ukali kama baadhi ya makabila ....

Team chadema ni TMK kiumeni... Lazima tupooze sauti jamani [emoji23][emoji23][emoji23] ... Au huko Team chawa mmezoea furugu ??? Basi safar hii tumeamua kuja kivingine
 
Unamdanganya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…