SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Nchi hii kuna vituko eti wewe mla nguruwe kujiita kadhi mkuuNchi hii Kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
Kuna ubaya gani "wazungu" wakitoa hela kwa CDM? Mbona hata serikali inazililia kwa povu jingi (Rejea Zitto alipokinukisha Bungeni na ruzuku ya covid 19).Wazungu wa tundulisu watatoa pesa za kuendesha chama
Huwezi kuzielewa maana wewe ndani ya ccm yenu akili hazihitajiki kutumikaSiasa za chadema sizielewi
Wananchi wamempeleka mbunge wao bungeni Mbowe na kamati yake inamzuia asiende bungeni
Hata ningekuwa Mimi ningewasikiliza wananchi walio nipigia kura sio kamati ya Mbowe
Wamewafuata jamaa zao maana hata siku moja Kambale hawezi kusahau kwenye maji
Na huu ndo uwe msimamo wa Chama, hatuna shida na AIDA na madiwani 15, ila Vovid 19.Hao hatuna shida nao, tuna shida ya kuondoa COVID -19 tu.
Chukueni virus vyenu huko ccm
Alafu ikusaidie nini?Una cheo gani pale chadema?
Alafu ikusaidie nini?
Kwani waliopo walisomea wapi urais na umakamo?Siwameishiwa mbinu na kuanza kutumia mbokoNchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
Wewe unaishia kuramba viatu vya chakubanga View attachment 1668601
Huwezi kuzielewa kwa sababu zipo juu ya uwezo wa akili yako. Na hilo la tatizo la akili finyu siyo wewe tu, bali ni la kila mwanaCCM.Siasa za chadema sizielewi
Wananchi wamempeleka mbunge wao bungeni Mbowe na kamati yake inamzuia asiende bungeni
Hata ningekuwa Mimi ningewasikiliza wananchi walio nipigia kura sio kamati ya Mbowe
HAHAHAHAHAHANchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
Walijichagua wananchi wakawapa kichapo Cha shoga mwizi hawatasahau na huyo Beberu lao amsterdam.Kwani walijichagua au walichaguliwa na wananchi?!!!
Chama chochote lazima kiwe na misingi yake anayekwenda kinyume huyo ni mkaidi na mwanamkaidi hafaidi hata siku ya IddWamekaidi nini watu hawakulala kulinda kura mpaka kikaeleweka halafu waachie kiulaini rahisi rahisi tu haiwezekani.
Huyo Mbowe si wa kumlaumu, faru John alimtuma kujipa uwaziri mkuu ndani ya saa72.Kwakweli ni maajabu ya karne.
Wanakwambia"Baada ya masaa 72 Mbowe atakuwa waziri mkuu" yani Mbowe kama Mbowe awe prime!!
Chama chochote lazima kiwe na misingi yake anayekwenda kinyume huyo ni mkaidi na mwanamkaidi hafaidi hata sikuWamekaidi nini watu hawakulala kulinda kura mpaka kikaeleweka halafu waachie kiulaini rahisi rahisi tu haiwezekani.
"Nidhamu" hii ambayo kanuni zake zimetengenezwa na mtu yule yule aliyeandaa mpango wa kufuta ukomo wa muda wa kuwa mwenyekiti wa Chama?Mh.Mbowe ni kiongozi makini sana....nimependa anaposema Msingi wa Taasisi yoyote ile ni Nidhamu...bila nidhamu hakuna taasisi bali ni vurugu tupu.
Aida nae si kadharau kamati kuu? Maana maamuzi ya kamati kuu ilikuwa hakuna mbunge yoyote kuapaNa huu ndo uwe msimamo wa Chama, hatuna shida na AIDA na madiwani 15, ila Vovid 19.
Angekuwa na busara asingebadilisha katiba ya chama ili aongoze mileleMh.Mbowe ni kiongozi makini sana....nimependa anaposema Msingi wa Taasisi yoyote ile ni Nidhamu...bila nidhamu hakuna taasisi bali ni vurugu tupu.