Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Aliondoa ukomo wa mwenyekiti.Hata historia ya CHADEMA huijui.... Mnakaririshwa tu!! Embu Nitajie kipengele kilichobadilishwa?
Aliondoa ukomo wa mwenyekiti.Hata historia ya CHADEMA huijui.... Mnakaririshwa tu!! Embu Nitajie kipengele kilichobadilishwa?
Inasikitisha sana!!! Eti Mbowe PMNchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
lini we zezeta?Aliondoa ukomo wa mwenyekiti.
2006 we boyalini we zezeta?
Aliondoaje? Maana mie nimeisoma katiba ya CHADEMA (pre-2006) haijawahi kuwa na kauli yoyote kuhusu tenure ya position yeyote ile labda unieleze kipengele hiko kilikua kinasemaje? Na kilivyofutwa kinasomekaje?Aliondoa ukomo wa mwenyekiti.
Kabla kulikuwa na kipengele cha ukomo wa mwenyekiti (vipindi viwili), ilipofika 2006 mbowe na watu wake wakiwamo hao mnyika na slaa, wakaamua kubadilisha hiko kipengele na kuondoa ukomo.
Aliondoaje? Maana mie nimeisoma katiba ya CHADEMA (pre-2006) haijawahi kuwa na kauli yoyote kuhusu tenure ya position yeyote ile labda unieleze kipengele hiko kilikua kinasemaje? Na kilivyofutwa kinasomekaje?
NB: Dk.Slaa na Mnyika wameingia kwa ID zao humu kujibu, naomba u search usome hiyo kelele ilijibiwa, na wana JF wote wakaelewa. Unless kma ulikua bado upo form 1 kipindi JF inajadili hilo suala.
Ha! Kumbe amepelekwa kupitia chama cha wananchi.Siasa za chadema sizielewi
Wananchi wamempeleka mbunge wao bungeni Mbowe na kamati yake inamzuia asiende bungeni
Hata ningekuwa Mimi ningewasikiliza wananchi walio nipigia kura sio kamati ya Mbowe
Kwani makamu wa sasa hivi yeye malaika? Utalinganisha akili za Tundu-Mwalimu na MEKO-Samia? Uongozi ni HEKIMA brother ambayo MEKO hana kabisa...Nchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
acha kupotosha mkuu, kamati ya rasimu mpya ilikua chini ya Baregu na mchakato ulishaanza hata kabla Mbowe hajagombea uenyekiti.Kabla kulikuwa na kipengele cha ukomo wa mwenyekiti (vipindi viwili), ilipofika 2006 mbowe na watu wake wakiwamo hao mnyika na slaa, wakaamua kubadilisha hiko kipengele na kuondoa ukomo
Sasa swali linarudi kwako, kwa nini hiko kipengele kisitolewe?acha kupotosha mkuu, kamati ya rasimu mpya ilikua chini ya Baregu na mchakato ulishaanza hata kabla Mbowe hajagombea uenyekiti.
Unajua mnakaririshwa tu ila mkiulizwa details mnaanza kuzunguka. Ghafla katiba mpya ikaja mnadandia kuwa Mbowe katoa sijui kipengele hiki na kile utadhani kulifanyika amendment fulani hivi ya katiba.
Mnashangaza sana
Kama magufuli ameweza kuwa rais,kuna mtanzania mwingine anaweza kushindwa? Labda awe mjinga sana kama weweNchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema Madiwani na Mbunge mmoja wa CHADEMA, ambao wameapa baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020 hawajatenda jinai.
Lakini amesema viongozi hao wamekaidi misimamo ya chama, hivyo chama kitatenda haki kwa kuwasikiliza kila mmoja wao kabla ya kuchukua uamuzi stahiki kwa muda muafaka.
Pia kuhusu wabunge 19 wa viti maalum amesema vikao maalumu vya chama vitakaa kusikiliza rufaa ya wabunge hao walifutwa uanachama na nyadhifa zao zote.
Mbowe ameyazungumza hayo jana katika mkutano wake na waandishi.
Ndio maana mnaitwa NYUMBU unamzungumzia huyu ZITTO akili kubwa mliomuunga mkono ZANZIBAR???Hao washaonyesha madhaifu yao tayari.
Cdm ni wazoefu sana maana tulianza na Zitto na sasa hao covid 19
Hao uliowataja tutawaongelea vyama vyao vikifika hatua ya kuwa vyama vikuu vya upinzani....Mbona kwa Lipumba na mrema huulizia time factor isipokuwa chadema hata kama umetumwa punguza haikusaidii chochote.
Kipengele kipi?Sasa swali linarudi kwako, kwa nini hiko kipengele kisitolewe?