Mbowe: Mbunge na Madiwani walioapa hawakutenda jinai, ila ni wakaidi

Mbowe: Mbunge na Madiwani walioapa hawakutenda jinai, ila ni wakaidi

.
Aliondoa ukomo wa mwenyekiti.
Aliondoaje? Maana mie nimeisoma katiba ya CHADEMA (pre-2006) haijawahi kuwa na kauli yoyote kuhusu tenure ya position yeyote ile labda unieleze kipengele hiko kilikua kinasemaje? Na kilivyofutwa kinasomekaje?

NB: Dk.Slaa na Mnyika wameingia kwa ID zao humu kujibu, naomba u search usome hiyo kelele ilijibiwa, na wana JF wote wakaelewa. Unless kma ulikua bado upo form 1 kipindi JF inajadili hilo suala.
 
Kabla kulikuwa na kipengele cha ukomo wa mwenyekiti (vipindi viwili), ilipofika 2006 mbowe na watu wake wakiwamo hao mnyika na slaa, wakaamua kubadilisha hiko kipengele na kuondoa ukomo
 
Siasa za chadema sizielewi

Wananchi wamempeleka mbunge wao bungeni Mbowe na kamati yake inamzuia asiende bungeni

Hata ningekuwa Mimi ningewasikiliza wananchi walio nipigia kura sio kamati ya Mbowe
Ha! Kumbe amepelekwa kupitia chama cha wananchi.
 
Nchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
Kwani makamu wa sasa hivi yeye malaika? Utalinganisha akili za Tundu-Mwalimu na MEKO-Samia? Uongozi ni HEKIMA brother ambayo MEKO hana kabisa...
 
Chadema ilishajifia,
Kwa sababu hakushinda Mbowe basi na wengine waloshinda wasuse!

Lisu rais
Mbowe waziri mkuu
Mwalimu malami wa rais🤣🤪
 
Kabla kulikuwa na kipengele cha ukomo wa mwenyekiti (vipindi viwili), ilipofika 2006 mbowe na watu wake wakiwamo hao mnyika na slaa, wakaamua kubadilisha hiko kipengele na kuondoa ukomo
acha kupotosha mkuu, kamati ya rasimu mpya ilikua chini ya Baregu na mchakato ulishaanza hata kabla Mbowe hajagombea uenyekiti.

Unajua mnakaririshwa tu ila mkiulizwa details mnaanza kuzunguka. Ghafla katiba mpya ikaja mnadandia kuwa Mbowe katoa sijui kipengele hiki na kile utadhani kulifanyika amendment fulani hivi ya katiba.

Mnashangaza sana
 
Sasa swali linarudi kwako, kwa nini hiko kipengele kisitolewe?
 
Nchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
Kama magufuli ameweza kuwa rais,kuna mtanzania mwingine anaweza kushindwa? Labda awe mjinga sana kama wewe
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema Madiwani na Mbunge mmoja wa CHADEMA, ambao wameapa baada ya kushinda katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020 hawajatenda jinai.

Lakini amesema viongozi hao wamekaidi misimamo ya chama, hivyo chama kitatenda haki kwa kuwasikiliza kila mmoja wao kabla ya kuchukua uamuzi stahiki kwa muda muafaka.

Pia kuhusu wabunge 19 wa viti maalum amesema vikao maalumu vya chama vitakaa kusikiliza rufaa ya wabunge hao walifutwa uanachama na nyadhifa zao zote.

Mbowe ameyazungumza hayo jana katika mkutano wake na waandishi.

..Ujumbe wa Freeman Mbowe ni huu:

1. Aidah Kenan na madiwani hawajavunja sheria za nchi walipokula kiapo kutumikia ubunge na udiwani.

2.Halima Mdee na wenzake wamevunja sheria za nchi, wamejihusisha na JINAI, kwa kuapishwa kuwa wabunge bila kupendekezwa na kuthibitishwa na vikao halali vya chama chao, kama katiba na sheria za Tz zinavyoelekeza.
 
Chadema inahitaji vission mpya kiuongozi,.. New chairman is essential
 
Hao washaonyesha madhaifu yao tayari.
Cdm ni wazoefu sana maana tulianza na Zitto na sasa hao covid 19
Ndio maana mnaitwa NYUMBU unamzungumzia huyu ZITTO akili kubwa mliomuunga mkono ZANZIBAR???
 
Nilitegemea Mbowe aongelee.matukio ya wananchi kuchapwa bakora lakini yeye ameona halina msingi ndio maana wanakosa sapoti ya wananchi.
 
Mbona kwa Lipumba na mrema huulizia time factor isipokuwa chadema hata kama umetumwa punguza haikusaidii chochote.
Hao uliowataja tutawaongelea vyama vyao vikifika hatua ya kuwa vyama vikuu vya upinzani....
mbowe 2.jpg
 
.
Sasa swali linarudi kwako, kwa nini hiko kipengele kisitolewe?
Kipengele kipi?

Katiba mpya inakuja na maoni mapya ila amendment ndio inabadili vifungu vya katiba iliyopo.

Mbowe hakufanya ammendment yoyote ya katiba sasa kufuta kipengele kunatokea wapi?

Hoja yako ingekua kwanini katiba ya CHADEMA (2006) haikuongelea suala la ukomo kwa nafasi zote za uongozi?
 
Back
Top Bottom