Mbowe: Mbunge na Madiwani walioapa hawakutenda jinai, ila ni wakaidi

Nchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
Hujashangaa VP anaye mpapasa shishi baby! Uje umshangae Mwalimu? Halafu #NIYEYE waweza kumlinganisha na jiwe?
Kama MTU super kama Mkwere mwenyewe alikuwa anamu admire #NIYEYE ndio itakuwa huyo mchunga ng'ombe asiye weza zungumza sentensi tatu bila kuchomekea ngono?
Unachekesha sana weye!
 
Kwakweli ni maajabu ya karne.
Wanakwambia"Baada ya masaa 72 Mbowe atakuwa waziri mkuu" yani Mbowe kama Mbowe awe prime!!
Si bora hata Mbowe awe waziri mkuu, wewe hata mke huna unawezaje kuwa hata mjumbe wa nyunba 10?
 
Ubunge angeshinda Mbowe au mwingine yeyote usingesikia hizo drama.
 
Nchi hii kuna vioja, eti Salum Mwalimu awe makamu wa Rais na Rais awe Tundu.
Kwani wanakosa nini ambacho hao wengine wanacho? Angalia ucwe unaabudu watu kadhaa badala ya kuwaona wote sawa!!! Ninyi ndo hutuambia binadamu wote ni sawa na Tanzania ni moja! Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Si bora hata Mbowe awe waziri mkuu, wewe hata mke huna unawezaje kuwa hata mjumbe wa nyunba 10?
Mimi sina makengeza,naweza kuwa kiongozi,mtu mwenye makengeza hata ubongo wake unakuwa na matatizo.
 
Kwani wanakosa nini ambacho hao wengine wanacho? Angalia ucwe unaabudu watu kadhaa badala ya kuwaona wote sawa!!! Ninyi ndo hutuambia binadamu wote ni sawa na Tanzania ni moja! Au nasema uongo ndugu yangu?
Mpeni uenyekiti huko kwenu, ndio utaona amekosa nini
 
Muda sio mrefu Mista cheaman anakwenda kuwaaibisha mnaokomalia kina Mdee wafukuzwe
 
Initially Magufuli paid little attention to Mbowes' treacherous opposition activities and failings. When Mbowe persisted, he beat him on his own game.

Mr. Chairman when you certainty confess your mistakes, be certain that the support you had before from business community and the Elites will come back, we work on the premise that even the wisest men are sometimes wrong.
 
It is a fact. But there is some criminality in the process. Faking of documents and signatures is a criminal offense.
 
"Nidhamu" hii ambayo kanuni zake zimetengenezwa na mtu yule yule aliyeandaa mpango wa kufuta ukomo wa muda wa kuwa mwenyekiti wa Chama?
Mbona kwa Lipumba na mrema huulizia time factor isipokuwa chadema hata kama umetumwa punguza haikusaidii chochote.
 
Povu la nini mimi sijasema kuna ubaya nimesema wazungu wake wataleta mipesa ya kuendesha chama
 
Siasa za chadema sizielewi

Wananchi wamempeleka mbunge wao bungeni Mbowe na kamati yake inamzuia asiende bungeni

Hata ningekuwa Mimi ningewasikiliza wananchi walio nipigia kura sio kamati ya Mbowe
Chama ndio kinadhamini mgombea sio wananchi. Mlikataa rasimu ya warioba sasa mnalia lia nini?

Kiufupi wakitimuliwa ndio imetoka hyo wananchi hawawezi kuwaokoa. Hta bungeni wanapangwa kwa mujibu wa chama.

Kiufupi chama ndio kina hati ya wagombea sio wananchi. Ni ukweli mchungu tusiopenda kuusikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…