Mbowe: Mikutano ya hadhara haikufutwa na Magufuli peke yake

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi (CCM).

Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 22, 2023 katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya shule ya Msingi Mukendo mjini Musoma mkoani Mara, ikiwa ni siku ya pili tangu chama hicho kizindue mikutano yake jana Jumamosi, jijini Mwnaza.

“Uamuzi wa kufunga mikutano haukuwa ya Magufuli peke yake, ulikuwa wa Magufuli, kamati kuu ya chama chake na viongozi na wanachama wa CCM walio wengi, tusikae tukasema aliyefunga mikutano ni Magufuli ni CCM na dhambi hii lazima waibebe,” amesema.

Zuio la mikutano ya hadhara lilitolewa na Rais Magufuli akiwa madarakani mwaka 2016 huku akitoa fursa kwa wabunge na madiwani kufanya mikutano kwenye maeneo yao na wengine wakitakiwa kusubiri wakati wa uchaguzi.

Zuio hilo lilidumu hadi Januari 3, 2023 wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa vyama 19 vya siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam, alipotangaza kuliondoa zuio hilo.

Katika mkutano huo wa hadhara, Mbowe amesema CCM inaiogopa Chadema, akitolea mfano baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 chama hicho kilitathmini namna ya kushinda, baada ya kuona hakina uwezo wa kushinda kwa haki kukabuni mbinu batili.

“Yakafanyika maamuzi ambayo yalimuhitaji mtu asiye na akili sawasawa kuyatekeleza, kuamua kuwafungia wananchi uhuru wa mnaisha yao kwa miaka saba inahitaji uwendawazimu, lakini walifanya bila aibu na wafaidika wa ubatili ule ni CCM,” amesema.

Walifanya hivyo wakitambua kile alichokisema kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa wasingeshinda hivyo wakaona ni vema kuengua wagombea.

MWANANCHI
 
Mataga wanaumia sana kwanini Siasa za chuki zinapotea

Sukuma Gang wamenuna kwanini Mbowe hataki kumtukana Samia

Ahaa ni mwisho wa siasa za kutekana

Mataga na Sukuma Gang wanawaza siasa za ukabila na chuki

Kwa akili zao mbovu wanamuomba Mbowe amtukane Rais Samia

Mbowe mtoto wa mjini kawaachia vumbi
 
Naona Anapiga u turn,

CCM ni ADUI namba moja wa Watanzania na Si Magu.

Mabaya ya Magu yabebwe na CCM na itolewe madarakani Kwa UOVU huo.

Na ikumbukwe pia,

Magu alizuia mikutano Kwa miaka 5, na sa100 akazuia mikutano Kwa miaka 2.

Tuungane kumpambania KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Aaamen.
 
leo nimepata kusikia mchungaji rich bilionear ana kwambia mtawala ana nguvu na hiyo nguvu inaweza kubebwa na anao watumikisha.

Katika CCM kuna waliokuwa wanatumikia basi kama ilikuwa baya au nzuri wangechagua.

Leo mama kasimama na watu waendelee na mikutano. Umesikia polisi kusema order imetoka juu wakati waziri wa ulinzi yupo, mkuu wa mkoa na wilaya wote wapo.

Hao ndio watumishi
 
Zuio la mikutano ya hadhara liliwekwa na dikteta. Period!!

Ingelikuwa ni chama cha mapinduzi lisingeondolewa maana bado kipo.
 
Huna akili wewe CCM wanatumia mbinu nyingi kuzidi kuwadhohofisha wapumbavu mkiaminishwa aliyepo ni bora kuliko aliyepita wakati wao Kila awamu wanajitafuta CCM ni Ile Ile wanajua kuwasoma wapinzani na kucheza na akili zao mwelewa hapa ndiye ataye nielewa!!!!!! Ogopa sana mtu anayekuchekea chekea bora yule anayekuchana ukweli #thinkbig!!!
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa haukuwa wa Hayati John Magufuli pekee, bali na uongozi wa chama chake- Chama cha Mapinduzi (CCM).

Mbowe ameyasema hayo leo Jumapili, Januari 22, 2023 katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya shule ya Msingi Mukendo mjini Musoma mkoani Mara, ikiwa ni siku ya pili tangu chama hicho kizindue mikutano yake jana Jumamosi, jijini Mwnaza.

“Uamuzi wa kufunga mikutano haukuwa ya Magufuli peke yake, ulikuwa wa Magufuli, kamati kuu ya chama chake na viongozi na wanachama wa CCM walio wengi, tusikae tukasema aliyefunga mikutano ni Magufuli ni CCM na dhambi hii lazima waibebe,” amesema.

Zuio la mikutano ya hadhara lilitolewa na Rais Magufuli akiwa madarakani mwaka 2016 huku akitoa fursa kwa wabunge na madiwani kufanya mikutano kwenye maeneo yao na wengine wakitakiwa kusubiri wakati wa uchaguzi.

Zuio hilo lilidumu hadi Januari 3, 2023 wakati Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa vyama 19 vya siasa, Ikulu jijini Dar es Salaam, alipotangaza kuliondoa zuio hilo.

Katika mkutano huo wa hadhara, Mbowe amesema CCM inaiogopa Chadema, akitolea mfano baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 chama hicho kilitathmini namna ya kushinda, baada ya kuona hakina uwezo wa kushinda kwa haki kukabuni mbinu batili.

“Yakafanyika maamuzi ambayo yalimuhitaji mtu asiye na akili sawasawa kuyatekeleza, kuamua kuwafungia wananchi uhuru wa mnaisha yao kwa miaka saba inahitaji uwendawazimu, lakini walifanya bila aibu na wafaidika wa ubatili ule ni CCM,” amesema.

Walifanya hivyo wakitambua kile alichokisema kuwa uchaguzi wa Serikali za mitaa wasingeshinda hivyo wakaona ni vema kuengua wagombea.

MWANANCHI
Hakika

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Yeye alifata maamuzi haramu ili awafurahishe wanaccm. Leo hayupo ila waccm wanademka na kulamba asali tu.

Jpm alitakiwa kutenda kinachostahili kama rais na sio kuwapendelea ccm wanafiki.
 
Huna akili wewe CCM wanatumia mbinu nyingi kuzidi kuwadhohofisha wapumbavu mkiaminishwa aliyepo ni bora kuliko aliyepita wakati wao Kila awamu wanajitafuta CCM ni Ile Ile wanajua kuwasoma wapinzani na kucheza na akili zao mwelewa hapa ndiye ataye nielewa!!!!!! Ogopa sana mtu anayekuchekea chekea bora yule anayekuchana ukweli #thinkbig!!!
Danganya toto hii.
 
Kwahiyo unataka tumpe de jiwe aliyekuwa anaua, anapora, anateka, na kupiga watu risasi?? Pambafu!
Unaonekana fala sana na umekaririshwa na mabwana zako uje umchamfue magufuli vipi mbona we hujauliwa wapumbavu kama nyinyi ni kuwapuuza TU hamna faida Wala jipya bogus!!!
 
Hakutumaliza wote. Lkn kusema ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu, jiwe alikuwa muuaji, mtekaji, mporaji na mpiga watu risasi.
 
Kama ni hivyo na wewe utakuwa ni Moja ya wahusika katika mauaji utekaji na uporaji huo sababu huwezi kumjua mchawi kama nawe SI mchawi
 
Viwavi wanaojiita viongozi ktk nguo za Kijani ni Hatari kwa raia wema.
 
Back
Top Bottom