Mbowe: Mimi Watanzania wananipenda sana, tatizo hii Mitandao inapotosha na hii ni kazi ya kakikundi kadogo ka watu wabaya

Mbowe: Mimi Watanzania wananipenda sana, tatizo hii Mitandao inapotosha na hii ni kazi ya kakikundi kadogo ka watu wabaya

Newforce

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2024
Posts
430
Reaction score
708
Freeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na bado anasifa za kuendelea kuwa kiongozi wa Upinzani.

Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.

Usiondoke Jf kwa habari motomoto

IMG-20250116-WA0060.jpg
 
Mhe Freeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na bado anasifa za kuendelea kuwa kiongozi wa Upinzani.

Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.

Usiondoke Jf kwa habari motomoto
Anakubalika kweli,ila Sasa apishe ili tusonge mbele!
 
Mhe Freeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na bado anasifa za kuendelea kuwa kiongozi wa Upinzani.

Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.

Usiondoke Jf kwa habari motomoto
Chadema siku zote harakati zake huwa zinakuwa pushed na mitandao ya kijamii. CCM siku zote huwa wanaiponda chadema kuwa umaarufu wake zaidi uko mitandaoni na chadema huwa inabisha kwa kusema walioko mitandaoni ndio hao hao wapiga kura.
Leo mwenyekiti anakandia mitandao kuwa inapotosha. Kweli hakuna kibaya wala kizuri inategemea unasimamia wapi kwa wakati huo.
 
Mbowe awaambie watu miaka 16+ kwenye chama amefanya nini..?

Niwakati wa kupata mawazo mapya kutoka kwa mtu mwingine
 
Kwani si tumekubaliana tunamng'owa Mbowe? Sasa wajiandaye vipi na wao ndio wanatwaa madaraka?
Mmh! Mbowe ana back up ya mfumo. Jana tuliona manyunyu ya ngumi kwenye uchaguzi wa bawacha, ngumi kamili zitakuwepo 21/01/"25.

Maboksi ya kura yatabebwa na polisi ili kupisha ngumi, halafu kura zikija kuhesabiwa Mbowe atakuwa mshindi.
 
Back
Top Bottom