Anakubalika kweli,ila Sasa apishe ili tusonge mbele!Mhe Freeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na bado anasifa za kuendelea kuwa kiongozi wa Upinzani.
Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.
Usiondoke Jf kwa habari motomoto
Chadema siku zote harakati zake huwa zinakuwa pushed na mitandao ya kijamii. CCM siku zote huwa wanaiponda chadema kuwa umaarufu wake zaidi uko mitandaoni na chadema huwa inabisha kwa kusema walioko mitandaoni ndio hao hao wapiga kura.Mhe Freeman Mbowe amesema katika mahojiano yake na Azam TV kuwa anafanyiwa character assassination na wabaya wake kwenye Mitandao ili aonekane hakubaliki ila ukweli ni kwamba yeye anakubalika sana na bado anasifa za kuendelea kuwa kiongozi wa Upinzani.
Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.
Usiondoke Jf kwa habari motomoto
Kuna wajinga ukiwaambia Mbowe ameshamaliza uchaguzi hawaelewi.Pigia mstari watashughulikiwa
Big excuse aisee, number ya watu wanaotumia AI ni ndogo mno,ost of peoples wako aware na social medias alone.Tatizo ni AI, watu 10 comment 1000.
Ohooo! LISU, Lema na Heche wajiandaye.Mbowe anasema wale wote wanaonesha tabia zisizo za Kichadema watashughulikiwa baada ya Uchaguzi.
Kwani si tumekubaliana tunamng'owa Mbowe? Sasa wajiandaye vipi na wao ndio wanatwaa madaraka?Ohooo! LISU, Lema na Heche wajiandaye.
Tulisema hapa, kwamba chadema ni mali ya mtu binafsi.
Mmh! Mbowe ana back up ya mfumo. Jana tuliona manyunyu ya ngumi kwenye uchaguzi wa bawacha, ngumi kamili zitakuwepo 21/01/"25.Kwani si tumekubaliana tunamng'owa Mbowe? Sasa wajiandaye vipi na wao ndio wanatwaa madaraka?
Mpaka ashinde uchaguzi, kuhitajika tu pasina kushinda uchaguzi hakuwezi kumfanya kuwa mwenyekiti.Sawa, ila kwenye uenyekiti anahitajika LISU
Very poor editing.