Mbowe, mkanye Lissu

Mkuu,
Nawe ni Mdumisha Kiswahili kama 'Mwendazake' ee?
'Tundu Lissu behave like gentleman' ndio nini?

Si ungeongea Kiswahili tu😀
 
ukwel utabaki kuwa ukwel kma huamini subiri muda
Ukweli upi? hatima ya mtu haipo mikononi mwa binadamu wenzake JPM mwenyewe hakujua Kama angekua Rais refer speech zake uliwaza one day Samia atakua Rais? usijipe uungu mtu imagine JK, Nyerere, Mkapa enzi zao walishindwa kumuweka mtu wanao mtaka wao who are you to judge?
 
Huyu mtu ame-cross red line zamani sana.Kwa kushirikiana na maadui zetu kutu-sabotage kwa kila hali,he deserves an extremely harsh action.Mimi naishangaa serikali yetu sana,sio mtu wa kuvimiliwa kabisa huyu.
 
Mkuu,
Nawe ni Mdumisha Kiswahili kama 'Mwendazake' ee?
'Tundu Lissu behave like gentleman' ndio nini?

Si ungeongea Kiswahili tu😀
kama umenielewa si inatosha au unasemaje ndugu yangu??
 
Huyu mtu ame-cross red line zamani sana.Kwa kushirikiana na maadui zetu kutu-sabotage kwa kila hali,he deserves an extremely harsh action.Mimi naishangaa serikali yetu sana,sio mtu wa kuvimiliwa kabisa huyu.
nikweli sema kwenye harsh action hapana kuna namna ya kudeal nae tuu
 
Dah....nimesoma mabandiko yote ya mh Rais mtarajiwa Tundu Lissu.....nimeangalia video zote.....sijaona popote pale alipokosea...nadhani wengi humu tunasumbuliwa na wivu tu.....mwacheni Rais wetu aendelee kukamua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Tamaduni zenu?"

My foot.. Hizo tamaduni zenu za kijinga na za kishirikina, ni mbaya, ni chafu. Kaeni nazo menyewe. Zinapaswa kuvunjwa haraka.

Mimi nasema hivi;

Tundu Lissu endelea kusema kila lililo muhimu kwa Tanzania na ulimwengu kusikia.

Shida ni kama anayozungumza ni kwa manufaa ya Taifa. Anaonekana ni hisia zake tu.
 
Huyu bingwa CHAUROPOKAJI sidhani kama anaweza kukanywa na FAM.
Inasemekana kama anaweza kuwa tatizo katika sehemu fulani ya ubongo.
Kwa mtu mwenye akili timamu angeweza kuwa amejifunza kitu wakati wa kuaga mwili wa Hayati JPM. Kwa umati ule ni wazi kwamba JPM alikuwa anapendwa sana wananchi wake. Kwa hiyo, yeyote anayekuwa kinyume na JPM anakuwa pia kinyume na mamilioni ya Watanzania wanaomkubali.
 
mwambie apunguze mihemko anaharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…