Mbowe, Mnyika na Kiwia waibuka kwenye Aunti Virus

Mbowe, Mnyika na Kiwia waibuka kwenye Aunti Virus

Ruge na uselfish wenu mzidi kuumia na ukandamizaji wenu
 
huyu ni baunsa wa kina fabulous. hela ya kumleta huyu toka east side na kumlisha ingetosha kabisa kuinua maisha ya bongo fleva wengi tu!

east side - Copy.jpg
 
umasikini wakujitakia wa hawa vinega unawasumbua sana
 
barnaba,beka,bobjunior,Mr.blue etc nao wameanzisha umoja wao..wanajiita vinemb3!!!
 
Wanaharakati tuko pamoja,Big up kwa Mr II aka Sugu Moto Chini na wote waliokuwepo kumpa sapoti!!,shoo ya kufa mtu!!
 
ni kwel ant virus itakomboa hip hop kibongo bongo.VP WEWE KAMA MWANA JAMII UNAIPOKEAJE ANT VIRUS????????????
 
2kiangalia ukweli ni kwamba hip hop must raise up.lazima wasanii wajue hip hop c lazima utukane but inapohitajika kufanya hivyo basi haina jinsi.labda neno likitoka bila kuliedit ndo wataelewa.tumechoka kuburuzwa tunataka kuona real hip hop.
 
Hao watoto wanataka kupanda mnazi huku wakiwa wamevaa msuli we msafiri ndugu yangu unakuwa kama huwajui wabongo kwa kugandamizia idea za wenzao???????????????????????????????????
 
Back
Top Bottom