Uchaguzi 2020 Mbowe, Mnyika, Tundu nje ya Bunge CHADEMA patachimbika

Kamanda jikite kwenye hoja acha kubwabwaja
 
Fisi anaposubiri mkono udondoke hatafanikiwa.chadema hata aondoke nani itazidi kuwa na nguvu
 
Hivi hamnaga kitu zaidi ya kulalamika ?
Ni mpumbavu /mwoga tu ndiye anaweza kuona dhuluma ikifanywa halafu akakaa kimya. Mwenye akili hushtuka na kupiga kelele! Tuna akili timamu. Miaka 60 ya uhuru chini ya CCM hakuna maji, barabara mbovu, elimu na afya dhaifu, umasikini uliokithiri, utawala wa kibabe, uhuru unazidi kudorora, hakuna utawala wa haki yaani wa kisheria, hazina ya taifa inatumika ovyo kujenga vitu (monuments) badala ya kutatua shida za wananchi, deni la taifa linakua kila uchao na mengine mengi halafu tukae kimya? Tutakuwa tumepumbaa akili. Wale wenye macho yasiyoona na waoga ngoja wao wanyamaze. Tunao ona tutalalamika na zaidi ya kulalamika!!!
 
Kutenganisha CCM na wizi wa kura ni sawa na kusema wanajeshi wasivae gwanda
 
Kwahiyo umepiga kelele?
 
Utopolo kichwani. Hao ni watanzania, lazima wafuate sheria na taratibu za nchi kama wananchi wengine. Hakuna aliye juu ya sheria hata Anti-Pas analijua hilo vizuri.
 
Duh umemkemea kwa dhati kabisa
 
Mkuu@wakudadavua hivi pale ufipa walikufanya nini? Naona uko desperate sana na chadema.
Nyuzi zako nyingi zinahusu chadema kuliko huko uliko ccm.
Tueleze tu usitufiche
Mkuu hata Mimi huwa namshangaa huyu mama.
Lakini mkuu unapoachana na mwanamke alfu baada ya kuachana anakufuatilia,ujue huko alikokimbilia hakunwi vizuri.yangu ni hayo.
 
Mkuu hata Mimi huwa namshangaa huyu mama.
Lakini mkuu unapoachana na mwanamke alfu baada ya kuachana anakufuatilia,ujue huko alikokimbilia hakunwi vizuri.yangu ni hayo.
Umegusa penyewe mkuu.
Hilo ndo jibu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…