Mbowe must go, hatukutaki!

Mbowe must go, hatukutaki!

Punguza unafiki, wakati Mbowe anavunjiwa bilcanas , na kuharibiwa mashamba yake mlimcheka, alipopewa kesi ya ugaidi mkamuita gaidi, alipofungua akaunti zake mlimfanyis dhihaka. Leo unamwita Kibaraka, kisa akasamehe na kupiga picha na Viongozi wa CCM waliompitisha kwenye matatizo. Haya endeleeni tu.
Kaka kwema
 
Wanaccm mnaajenda ovu, mmetuibia sasa mnaleta ajenda ovu ili maovu yenu yasijadiliwe
Wewe si mwanachama wala hauna kadi ya Chadema unakuja kuingilia mambo ya Chadema bafala ya kuzitaka familia za viongozi kunimilikisha chama chenu kwa kuteuana na kuajiliana kifamilia.
Pole sana kijana
 
Huyu mwamba huenda ni mtu wa "mfumo" ndio maana hataki kuachia Uenyekiti. Wale wale tu akina "Nyepesi", "mama Tanzania", Hayati "Mrema" n.k
 
Mbowe amelisababishia Taifa hasara kubwa sana.

Kimsingi Taifa limerudi nyuma kwa sababu ya Mbowe!
Kuanzia awepo madarakani hadi sasa mikopo inazidi! Maendeleo ni ya kusua sua. Miradi mingi inafeli!
Mbowe huyo!
 
Back
Top Bottom