Mbowe: Mwenye ushahidi wa Rushwa CHADEMA alete, hakuna aliye msafi kama Mtume

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

"Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli"

"Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi nikasema wanahusika lakini nasisitiza rushwa ni tatizo kubwa katika Taifa, lipo CHADEMA kwasababu CHADEMA ni sehemu ya hiyo jamii"

"Kwenye hili suala la rushwa narudia tumesema na Katibu Mkuu ametangaza mara nyingi, mimi natangaza tena leo, yeyote ambaye anaweza akatusaidia, sisi hatuwezi kujua kila kitu, lazima tutegemee taarifa kutoka vyanzo mbalimbali, atupe huo ushahidi tuweze kushughulikia haya mambo kwa mujibu wa Katiba yetu, Kanuni zetu ambazo zipo wazi"
Soma, pia:

-Wilbroad Slaa awavaa Tundu Lissu na Mbowe. Asema kuna rushwa CHADEMA na viongozi wake wako kimya tu!
-Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA
 
Wakuu

"Tunakubaliana wote kwamba rushwa ni kitu kibaya, wala asitokee mtu akijifanya yeye ni mtakatifu sana kwamba yeye katika maisha haya ni msafi kama Mtume, kwamba wengine tu ndio wa rushwa, yeye ana haki na monopoly ya usafi kuliko wote si kweli"

"Mimi kwasababu sina ushahidi, siwezi nikasema wanahusika lakini nasisitiza rushwa ni tatizo kubwa katika Taifa, lipo CHADEMA kwasababu CHADEMA ni sehemu ya hiyo jamii"

"Kwenye hili suala la rushwa narudia tumesema na Katibu Mkuu ametangaza mara nyingi, mimi natangaza tena leo, yeyote ambaye anaweza akatusaidia, sisi hatuwezi kujua kila kitu, lazima tutegemee taarifa kutoka vyanzo mbalimbali, atupe huo ushahidi tuweze kushughulikia haya mambo kwa mujibu wa Katiba yetu, Kanuni zetu ambazo zipo wazi"
Kabisa sio kuropoka kila wakati si wapeleke ushahidi
 
Mbowe ni Mla rushwa lakini hatuna ushahidi
 
Usicheze na asali ya mama Abdul kabisa
 
Hakika, Na mimi nasisitiza mwenye ushahidi hata kama yeye ana hofu kuuwasilisha basi anaweza kuwasiliana na mimi nitaupeleka kwenye Chama wazi kabisa
Ushahidi upi wakati rushwa ndio tegemeo la Mbowe katika uchaguzi huu.
Wapambe wake wanajinasibu hadharani kuwa watatumia pesa kununua kura kwa sababu pesa ipo.
Nadhani ni kibri cha ile bil 12
 
Hakika, Na mimi nasisitiza mwenye ushahidi hata kama yeye ana hofu kuuwasilisha basi anaweza kuwasiliana na mimi nitaupeleka kwenye Chama wazi kabisa
nashauri kama ana hofu avae bullet proof vest kisha apeleleke ushahidi HQ 🐒
 
Hadi video za wapambe wake wakitoa rushwa zimeonekana, na kwa sababu anajua ushahidi wa rushwa ni wa mazingira anataka kujifichia hapo.
 
Haya ndio maneno sisi CCM tumekuwa tukisema angalau Kamanda Mbowe ameshatuelewa😃
 
Tatizo Mbowe unawafanya cdm wote Kama watoto wako. Unadhani watu hawajasoma shule Kama wewe.
 
Back
Top Bottom