Mbowe na Friends of Tanganyika

Mbowe na Friends of Tanganyika

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Je anachokifanya Mwenyekiti wa CHADEMA mh. Mbowe kwenye bunge la katiba ni sahihi.

Anachukua karatasi na kusainisha wabunge kwa lengo la kutafuta wanaounga mkono serikali tatu na kujiita Friends of Tanganyika.

Hivi ni sahihi kwa hili?
 
makini sana sidhani kuna sheria inayomnyima kufanya hivyo
 
Mmmh!!!

Je ndivyo Watanzania watakavyo?
 
Serekali tatu ndio mpango mzima. Wazenji wanatuamulia mambo kama vile hatuexist. Haikubaliki.
 
..............Mwenyekiti wa CHADEMA mh. Mbowe ....... na Friends of Tanganyika.
Naunga mkono 100%. Kila mwaka Dec 9, tunasherekea kwa mbwembwe pale Uwanja wa Taifa UHURU wa Tanganyika ipi sasa?
anzan
Tanganyika ndo mwarobaini wa MATATIZO YALIYOPO ya Muungano wetu....tukitaka Muungano uvunjike ndani ya miaka michache ijayo, tujindanganye kung'ang'ania Serikali mbili ambazo ETI ziwe na Baraza la Wawakilishi wa Tanzania Bara...

Hilo baraza la Tanganyika litakuwa linasimamia Serikali ipi sasa??? Huko ni kufunika kombe mwanaharamu apite...
 
Back
Top Bottom