wastani kwa idadi
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 503
- 1,432
ENGUA style ya Mbowe ni ya kikatili mno haina maelezo, wajumbe wanaenguliwa bila sababu maalum, Tulizoea kusikia watu kuenguliwa kwa makosa kwenye ya kuandika barua ila hii ni next level, unapigwa benchi bila sababu
Wanachama wengi wanao support Team Lissu wamepigwa marufuku kuhudhuria mkutano, Onyo la kibabe limeshatolewa, kipigo kitakuwa ni cha mbwa koko alietikisa meza konyagi ikadondoka.
wanalalamika kuna Ukanda kumbe wao wamezidi ndani ya chama kuna ukabila, Lema kamuunga mkono Lissu bila kujali kabila lake lakini cha ajabu jambo hili limefichua kuna watu wana mindset za kikabila ndani ya chama, Kongole kwa Lema kujali utaifa kuzidi kabila kwenye mambo ya kitaifa.