Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana si kwa hii ILLUSION inayo tokea ukimuuliza mtu Kama MDUDE CHADEMA for all this year's alikua ana pambania kitu gani?!Ndiyo sasa tuelewe kwanini vijana wanakuwa machawa wa CCM. Maana unaweza kupoteza maisha ukidhani unapigania course fulani kumbe unapigania ndoto binafsi za tumbo la mtu fulani.
Vijana wengi nahisi wamegundua hilo ndiyo maana wamegeuka machawa wa CCM kwa kasi ya ajabu na tegemea wengi zaidi kuwa machawa.
Kabisa na unakuta mtu alishawahi kuwa approached na chama akapewa ahadi ya ulaji akakataa leo anagundua alikuwa anapigania kitu kisichokuwepo.Maana si kwa hii ILLUSION inayo tokea ukimuuliza mtu Kama MDUDE CHADEMA for all this year's alikua ana pambania kitu gani?!
Nimekumbuka kitabu Cha MAN OF THE PEOPLE
Sema karma ni mbaya na hapa naona ule usemi wa mbowe ana wateka wenzake unaweza kuwa kweliYeriko huyo huyo anayelalamika polisi kutumia nguvu leo anawambia chadema wenzake kuwa watawavunja wasisogee.
CCM ikisema baada ya kupiga kura nenda nyumbani hakuna kulinda kura utawasikia wakilalamika.
Umenena vyema Nifah. Mtu ambaye anajua kabisa kuwa watu hawamtaki aendelee kuwaongoza, halafu ukaona anang'ang'ania kugombea maana yake amejiandaa kutumia njia zote, chafu na halali, ili aendelee.Lakini, tulitegemea nini kwa mtu anayeng’ang’ania madaraka? Atafanya chochote kuendelea kubaki kuwa Mwenyekiti.
Nitashangaa kama Lissu hakuwa na plan juu ya yote haya yanayoendelea.
Kabisa mkuuuKauli ya yeriko ,inasadifu matendo machafu yaliyokuwa yanafanywa na watu waliokuwa wanasemekana ni wasiojulikana, sasa wameanza kujianika
Soon tutajua mengi. Kwa kweli uchaguzi huu utawakatisha tamaa wengi na tutabaki na chapendeza tu...Sema karma ni mbaya na hapa naona ule usemi wa mbowe ana wateka wenzake unaweza kuwa kweli
Mfano dogo PAMBALU kipindi Cha kuunga mkono juhudi alikataa donge nono la JPMKabisa na unakuta mtu alishawahi kuwa approached na chama akapewa ahadi ya ulaji akakataa leo anagundua alikuwa anapigania kitu kisichokuwepo.
Kijana, achana na wana siasa na ndoto zao kama unaingia kwenye siasa pigania ndoto zako tu.
Kitajifia hiki chama muda utaongeaSoon tutajua mengi. Kwa kweli uchaguzi huu utawakatisha tamaa wengi na tutabaki na chapendeza tu...
Aisee huenda sultan ana maslahi makubwa katika chama. Hivi katika haya yote mbona Mnyika halaumiwi? Maana nadhani naye ni mshirika wa sultan.Mfano dogo PAMBALU kipindi Cha kuunga mkono juhudi alikataa donge nono la JPM
PERHAPS ANGEKUA HATA DC MAHALI MUDA HUU..
This time GIZA likishinda NURU ndio itakua Mara ya kwanza wakunja ngumu wa CHADEMA kugutuka kua kujitoa kwa ajili ya harakati za CHADEMA ni BIG SCAM.
Ni maoni na maombi yetu GIZA lishindwe na NURU.
VINGINEVYO SIASA ZA CHADEMA FOR ALL THIS YEAR'S ILIKUA NI SCAM.
Mbowe anaogopa kufurushwa chamani/ fear ya kupoteza chama chake alicho kifanya kuwa chadema na ndio maana for years mtu alie taka kile cheo alifukuzwa pia Kuna tuhuma za kuuwawa kwa chacha wangwe..Aisee huenda sultan ana maslahi makubwa katika chama. Hivi katika haya yote mbona Mnyika halaumiwi? Maana nadhani naye ni mshirika wa sultan.
Kitu ambacho anasahau, kwa sasa wanamhitaji kwa sababu ya kuogopa upinzani, kama hakuna upinzani imara atakuwa sawa na tishu tu maana hawana kazi naye tena.Mbowe anaogopa kufurushwa chamazi na ndio maana for years mtu alie taka kile cheo alifukuzwa pia Kuna tuhuma za kuuwawa kwa chacha wangwe..
Alale MAHALI pema chacha wangwe na ni wosia kwa wanamageuzi/ wapinzani wa kweli na wataka mabadiliko ya dhati tujipangee....
Mbowe akishinda Basi hakuna Tena upinzani imara ndio maana CCM na mama Abdul wanamtaka mbowe kwa kua wanajua CHADEMA kikichagua NURU mama Abdul atakua na mchuano mgumu Sanaa kupita Kama KIONGOZI wa JMT
Ndio kusema CCM B (chadema ya Sasa ya mbowe)Mbinu zilezile za CCM.