FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hakuna Spika yeyote mwenye akili timamu ataekubali nchi kusalitiwa na Watanzania million 60 kuwekwa rehani na macho ku mchuzi mmoja.Bushesha jr,
Hakuna mtu mwenye akili anaweza kukubaliana na uvunjifu wa katiba ya nchi unaofanywa na Spika Ndugai, ni uhuni uliopitiliza na atalipia gharama ya uvunjifu huo.