FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 May 13, 2020 #21 ngilenengo1 said: Bushesha jr, Hakuna mtu mwenye akili anaweza kukubaliana na uvunjifu wa katiba ya nchi unaofanywa na Spika Ndugai, ni uhuni uliopitiliza na atalipia gharama ya uvunjifu huo. Click to expand... Hakuna Spika yeyote mwenye akili timamu ataekubali nchi kusalitiwa na Watanzania million 60 kuwekwa rehani na macho ku mchuzi mmoja.
ngilenengo1 said: Bushesha jr, Hakuna mtu mwenye akili anaweza kukubaliana na uvunjifu wa katiba ya nchi unaofanywa na Spika Ndugai, ni uhuni uliopitiliza na atalipia gharama ya uvunjifu huo. Click to expand... Hakuna Spika yeyote mwenye akili timamu ataekubali nchi kusalitiwa na Watanzania million 60 kuwekwa rehani na macho ku mchuzi mmoja.