Tetesi: Mbowe na viongozi wengine wa Chadema kuhudhuria Mkesha wa " Vuka na Chako" kwa Mtume Mwamposa, RC Chalamila atakuwepo pia!

Tetesi: Mbowe na viongozi wengine wa Chadema kuhudhuria Mkesha wa " Vuka na Chako" kwa Mtume Mwamposa, RC Chalamila atakuwepo pia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni mkesha kabambe wa mwaka Mpya ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa watahudhuria

Mkesha wa " Vuka na Chako" utafanyika tarehe 31/12/2024

RC Chalamila yeye ni kama mwenyeji kwani hata Mkesha uliovunja rekodi ya mahudhurio wa Chako Ni Chako juzikati alikuwepo

Nadhani Mbowe kama atahudhuria itakuwa ni mara yake ya kwanza

Ahsanteni Sana 😃
 
waombee mdomo na makelele ya lisu, itapendeza sana na walau muungwana akatuliza mdomo, pupa, makelele na mayowe atakayopiga baada ya kushindwa vibaya uchaguzi ndani ya chadema 🐒
 
Mchungaji Masanja atakuwepo?
images (50).jpeg
 
Nilidhani Mbowe anasemwa vubaya na tabaka la kati na la juu tu CHADEMA, lakini nimepitia page za Facebook nimeona huko chini ndo kabisa watu hawamtaki. Hata kama atashinda CHADEMA itaporomoka vibaya mno.
 
Kama hamtaki kuvuka hakuna aja ya kutupotezea muda...
Unless mnataka kutengeneza matukio ya kupigana na kutekana
 
Back
Top Bottom