Tetesi: Mbowe na viongozi wengine wa Chadema kuhudhuria Mkesha wa " Vuka na Chako" kwa Mtume Mwamposa, RC Chalamila atakuwepo pia!

Tetesi: Mbowe na viongozi wengine wa Chadema kuhudhuria Mkesha wa " Vuka na Chako" kwa Mtume Mwamposa, RC Chalamila atakuwepo pia!

Pale mtu mwenye heshima anapojibu ujinga. Tunza heshima yako. Upuuzi haukufanyi upate likes au ukipata haimaanishi unakubalika bali unazodolewa.
Unadhani kwanini yeye mwenyewe katulia?

Usiingilie yasiyokuhusu na kama una mshindo kadange mbele ya safari Simbilisi wahed 🐼
 
Back
Top Bottom