johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wewe utapanua nini? ๐ผLissu kesho atapanua mudomo
Anayomwagiliwa mama mshana Jr ๐ผWhat a wasted manii
acha ujingaLissu kesho atapanua mudomo
Lissu ana mdomo kama samaki chuchungeWewe utapanua nini? ๐ผ
waombee mdomo na makelele ya lisu, itapendeza sana na walau muungwana akatuliza mdomo, pupa, makelele na mayowe atakayopiga baada ya kushindwa vibaya uchaguzi ndani ya chadema ๐Ni mkesha kabambe wa mwaka Mpya ambapo viongozi mbalimbali wa Serikali na Vyama vya Siasa watahudhuria
Mkesha wa " Vuka na Chako" utafanyika tarehe 31/12/2024
RC Chalamila yeye ni kama mwenyeji kwani hata Mkesha uliovunja rekodi ya mahudhurio wa Chako Ni Chako juzikati alikuwepo
Nadhani Mbowe kama atahudhuria itakuwa ni mara yake ya kwanza
Ahsanteni Sana ๐
ZOTE ๐ผKwa siku unaweka nyuzi ngapi?
Wewe ni mke wa Lucas Mwashambwa ๐ผWe ni mke wa FAM, tushakujuaa
Pale mtu mwenye heshima anapojibu ujinga. Tunza heshima yako. Upuuzi haukufanyi upate likes au ukipata haimaanishi unakubalika bali unazodolewa.Anayomwagiliwa mama mshana Jr ๐ผ