Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Chadema imeeshakufa hiyoView attachment 1413258
Hii ndio taarifa iliyozagaa kwenye viunga vya mahakama leo , kwamba Mh Mbowe na wafungwa wengine wamewasilisha rufaa yao Mahakama Kuu kupinga hukumu ya kinyama waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu , iliyowakamua shilingi za Kitanzania mil 350 .
Kazi imeanza upya .
My take : Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuchukua hatua hii ili kuweka kumbukumbu sawa kwa faida ya vizazi vijavyo
Karibu sana mkuuyani imezaga wakati unairipoti saa 6 za usiku na ndo kwanza unaianzisha wewe, sasa kma ingezagaa si tungeiona hata kwenye vyombo vingine vya habari...by the way kwa hiyo wakishinda hiyo hukumu, ule mkwanja waliolipa kwa serikali ya ....unarudishwa? na Jiwe pia atarudishiwa ile yake aliyo mchangia Msigwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rufaa ya Mbowe inakuliza na nini ?Hawa jamaa hakuna tofauti na mwizi sugu aliyezoea jela hata siku akitoka gerezani na akirudi uraiani atafanya tena uharifu arudi tena jela aliko zoea.""" Hakika mzimu wa Wilbrod Slaa si wakawaida,,,,,utawatafuna mpaka kaburi lao""
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache wapigwe fine nyengineMahakama kuu itawaongezea adhabu wameona Corona imemeza Siasa waibuke na ujinga wao
Genge la wahuni hiloHawa jamaa hakuna tofauti na mwizi sugu aliyezoea jela hata siku akitoka gerezani na akirudi uraiani atafanya tena uharifu arudi tena jela aliko zoea.""" Hakika mzimu wa Wilbrod Slaa si wakawaida,,,,,utawatafuna mpaka kaburi lao""
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaView attachment 1413258
Hii ndio taarifa iliyozagaa kwenye viunga vya mahakama leo , kwamba Mh Mbowe na wafungwa wengine wamewasilisha rufaa yao Mahakama Kuu kupinga hukumu ya kinyama waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu , iliyowakamua shilingi za Kitanzania mil 350 .
Kazi imeanza upya .
My take : Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuchukua hatua hii ili kuweka kumbukumbu sawa kwa faida ya vizazi vijavyo
Naunga mkono hoja
P
Pesa ikienda kwa mganga hairudi,DPP alisema anafikiria kukata rufaa dhidi ya kesi ya kina Mbowe,awakutegemea wangelipa hizo fainiView attachment 1413258