Mbowe na wenzake wakata rufaa Mahakama Kuu kupinga hukumu iliyowalipisha milioni 350

Wajinga hawa, ile hukumu ilikuwa nyepesi na ya huruma kwao, ngoja wakatandikwe hukumu nzito zaidi huko Mahakama ya rufaa.
 
Ikitokea tumeshinda, tafadhari pesa yangu niliyochanga ili kuwatoa viongozi wetu, nirudishiwe aisee, Isje kuwa tumeshinda halafu Ile pesa ikawa ni chanzo cha mapato ya Chama changu, yangu hapana
 
Hapo sasa! Ndio maana walikurupuka kuweka X- ray picture ya kudownload tena mkono wa Mwanaume alafu wakasema ni wa Halima.
 
Mbowe na genge lake limeshanusa harufu ya kushindwa nafasi za ubunge na urais ivyo wanatafuta sababu ya mahakama iwahukumu tena ili waje waseme mahakama imetumwa na rais
Kwa huu uchaguzi wenu wa kuuwa mwanafunzi?
 
Je wajua kitakacho tokea?rufaa itasikilizwa wakinambowe watashindwa wataongezewa kifungo cha mwaka mmoja ambacho kitawafanya wao wasiweze kugombea ubunge
kuwa na kesi na kwenda kortini na mahabusu kila siku ni strategy na kichaka cha DJ na ufipa wenzake kupotezea time na kukwepa jukumu la kukaa majimboni kutatua kero za wananchi, maamuzi ya kesi yakiwa hasi ni muhimu kwao kujenga chama na kushinda uchaguzi from huruma ya wananchi kuwa wanaonewa!
yaani sirikali wasipofungua kesi wao wanafungua!
mi niliwahi kusema Damu ya Akwilina iliyomwagika kwa uzembe na ulafi wa ufipa team haitopotea bure, hawa waliandamana bila kibali bila kuandamana kwao leo hii Akwilina angekuwa hai na bata zake, kukata rufaa ni damu ile inachafua akili zao ili wapewe hukumu iliyowastahili ya kifungo cha miaka minne kwa kuua bila kukusudia!!
 
Chademu, ooh sorry, chadomo ni kama samaki tu nje ya maji, anatapatapa kwa muda halafu anatulia.
 
Uongo utakusaidia nini ?
 
Damu ya Aquilina ilimwagika kwa uzembe wa Mkurugenzi wa Kinondoni aliyewanyima vibali mawakala wa CHADEMA. Kama angetoa haki sawa kwa vyama vyote leo Aquilina angekuwa hai. Acha kuongea ujinga humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee kama hukumu huwa wanaongeza kifungo, huko wangelambwa mvua ya kueleweka , maana naona wanaweweseka na uhuru walio nao.
Wamefulia wanatapatapa ndio wanajifia Tena hivyo

Sent from Tapatalk
 
Wamefulia wanatapatapa ndio wanajifia Tena hivyo

Sent from Tapatalk
Kwa mfao ndio wakashinda rufaa, hivyo ikaamriwa warejeshewe fedha zao walizolipa kama faini, si watazihifadhi tu pale ufipa na ndio makamanda jero jero zao zitakuwa zimeishia hapo.?? Au watawarejeshea wahusika??
 
Kwa mfao ndio wakashinda rufaa, hivyo ikaamriwa warejeshewe fedha zao walizolipa kama faini, si watazihifadhi tu pale ufipa na ndio makamanda jero jero zao zitakuwa zimeishia hapo.?? Au watawarejeshea wahusika??
Weee warejeshe? Una mjua mbowe kwa hela au una msikia tu atasema nakata deni langu la kuikopesha Sacco's yangu

Sent from Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…