Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,398
View attachment 1413258
Hii ndio taarifa iliyozagaa kwenye viunga vya mahakama leo , kwamba Mh Mbowe na wafungwa wengine wamewasilisha rufaa yao Mahakama Kuu kupinga hukumu ya kinyama waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu , iliyowakamua shilingi za Kitanzania mil 350 .
Kazi imeanza upya .
My take : Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuchukua hatua hii ili kuweka kumbukumbu sawa kwa faida ya vizazi vijavyo
Wala sio kila mtanzania anafikiri kutukana kama wewe ndio njia sahihi ya kuwakilisha mawazo yake, au kutukana ndio kubadili msimamo wa mtu?? au labda kutukana ndio kuonekana una haki zaidi??Grow up.Sio mahakimu wote wana ndoto za kuzawadiwa ujaji.
Kuwatukana ni haki yetu. Kama yule mwendawazimu wenu aliyefurahi Lissu kupigwa risasi kisha akadai ametelekeza jimbo. Nyie hata mkifa mimi nitafurahi. Nyie ni maadui na kuwachukia ni haki ya kikatiba.Wala sio kila mtanzania anafikiri kutukana kama wewe ndio njia sahihi ya kuwakilisha mawazo yake, au kutukana ndio kubadili msimamo wa mtu?? au labda kutukana ndio kuonekana una haki zaidi??Grow up.
Kupenda au kuchukia ni hisia ambazo zinaeleweka kikatiba.Kuwatukana ni haki yetu. Kama yule mwendawazimu wenu aliyefurahi Lissu kupigwa risasi kisha akadai ametelekeza jimbo. Nyie hata mkifa mimi nitafurahi. Nyie ni maadui na kuwachukia ni haki ya kikatiba.
Hawa misukule ya ufipa imefundishwa kutukana watu mitandaoni ina ungwa bando kukesha mitandaoni kupinga na kutukana viongozi wao wanakesha mahakamaniWala sio kila mtanzania anafikiri kutukana kama wewe ndio njia sahihi ya kuwakilisha mawazo yake, au kutukana ndio kubadili msimamo wa mtu?? au labda kutukana ndio kuonekana una haki zaidi??Grow up.
Badala ya kuuza sera zao wao wanapambana na polisi na usalama, Maneno ya Sumaye hayo. Sasa sijui tuwachukulia kama wanasiasa au kikundi cha kufanya fujo.Hawa misukule ya ufipa imefundishwa kutukana watu mitandaoni ina ungwa bando kukesha mitandaoni kupinga na kutukana viongozi wao wanakesha mahakamani
Sent from Tapatalk
Yaani hata Mimi nashangaa nahisi Kuna kitu wananyweshwa au kulishwa kinawafanya mishipa yao ya fahamu isifanye kazi halafu wanaungwa bando kuingia mitandaoni wao hawana hoja Wala nini. Ni matusi kuropoka kupayuka kulalamika kulialia wapo wengi humu wakiongozwa na kiongozi wao anae ratibu upuuzi huu kamamanda uchwara erythrocyteBadala ya kuuza sera zao wao wanapambana na polisi na usalama, Maneno ya Sumaye hayo. Sasa sijui tuwachukulia kama wanasiasa au kikundi cha kufanya fujo.
Vilevile barua za mawakala wao wa uchaguzi zingetolewa mapema wasingeandamana!kuwa na kesi na kwenda kortini na mahabusu kila siku ni strategy na kichaka cha DJ na ufipa wenzake kupotezea time na kukwepa jukumu la kukaa majimboni kutatua kero za wananchi, maamuzi ya kesi yakiwa hasi ni muhimu kwao kujenga chama na kushinda uchaguzi from huruma ya wananchi kuwa wanaonewa!
yaani sirikali wasipofungua kesi wao wanafungua!
mi niliwahi kusema Damu ya Akwilina iliyomwagika kwa uzembe na ulafi wa ufipa team haitopotea bure, hawa waliandamana bila kibali bila kuandamana kwao leo hii Akwilina angekuwa hai na bata zake, kukata rufaa ni damu ile inachafua akili zao ili wapewe hukumu iliyowastahili ya kifungo cha miaka minne kwa kuua bila kukusudia!!
Kiongozi wenu mmemsahau mzalendo uchwara. Kile kivuko mmekificha wapi!?Yaani hata Mimi nashangaa nahisi Kuna kitu wananyweshwa au kulishwa kinawafanya mishipa yao ya fahamu isifanye kazi halafu wanaungwa bando kuingia mitandaoni wao hawana hoja Wala nini. Ni matusi kuropoka kupayuka kulalamika kulialia wapo wengi humu wakiongozwa na kiongozi wao anae ratibu upuuzi huu kamamanda uchwara erythrocyte
Sent from Tapatalk
Ubaya ubaya. Hizo sheria zako ni upuuzi tu. Wala haziwezi kurudisha uhai wa Akwilina na wengine waliouawa kutokana na dhuluma zenu.Kupenda au kuchukia ni hisia ambazo zinaeleweka kikatiba.
Ila matunda ya hisia hizo ndio jambo la kuangaliwa zaidi , kwani kuna sheria mbali mbali ambazo zimewekwa kulinda baadhi ya mambo ambayo mtu anaweza yafanya kutokana na hizo hisia, jitahidi kuhimili hisia zako, kwani hata hao unaodhani unasimama nao wanaweza kukushangaa kwa mambo utayohisi ni sahihi kufanya kutokana na hisia zako.
Sumaye mmeshamrudishia mashamba yake!? Mnawafanyie watu ubaya kwa kuwa wameondoka chamani kwenu. Haya amerudi mrudishieni mashamba yake. Yule aliyesema nchi imekabidhiwa washamba na malimbukeni hakukosea.Badala ya kuuza sera zao wao wanapambana na polisi na usalama, Maneno ya Sumaye hayo. Sasa sijui tuwachukulia kama wanasiasa au kikundi cha kufanya fujo.
Unajua hawa vijana wa ccm ni wajinga sana !Wewe ndyo umekufa,Chadema ipo hai na inamtisha hata anayekulipa hizo buku saba hapo Lumumba!
Sent using Jamii Forums mobile app
Joined : March 2020Yaani hata Mimi nashangaa nahisi Kuna kitu wananyweshwa au kulishwa kinawafanya mishipa yao ya fahamu isifanye kazi halafu wanaungwa bando kuingia mitandaoni wao hawana hoja Wala nini. Ni matusi kuropoka kupayuka kulalamika kulialia wapo wengi humu wakiongozwa na kiongozi wao anae ratibu upuuzi huu kamamanda uchwara erythrocyte
Sent from Tapatalk
Kumbe ni mwajiriwa mpya Lumumba Buku 7, naona ameanza kwa makeke sana.Joined : March 2020
Inaonekana baada ya Mbowe kukutema naona ume-miss kupakatwa. Hapo Lumumba tafuta Shaba wa kukupakata.Weee warejeshe? Una mjua mbowe kwa hela au una msikia tu atasema nakata deni langu la kuikopesha Sacco's yangu
Sent from Tapatalk
Kumbe ni mwajiriwa mpya Lumumba Buku 7, naona ameanza kwa makeke sana.
Ikitolea wakashinda na mahakama ikasema pesa za faini zirudi, vipi Mh. Mbowe atawarudishia waliomchangia au ndio mwenyekiti keishanusa dili la umilionea?View attachment 1413258
Hii ndio taarifa iliyozagaa kwenye viunga vya mahakama leo , kwamba Mh Mbowe na wafungwa wengine wamewasilisha rufaa yao Mahakama Kuu kupinga hukumu ya kinyama waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu , iliyowakamua shilingi za Kitanzania mil 350 .
Kazi imeanza upya .
My take : Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuchukua hatua hii ili kuweka kumbukumbu sawa kwa faida ya vizazi vijavyo
Ni haki yao,lakini wakishindwa frufaa adhabu itaongezekaView attachment 1413258
Hii ndio taarifa iliyozagaa kwenye viunga vya mahakama leo , kwamba Mh Mbowe na wafungwa wengine wamewasilisha rufaa yao Mahakama Kuu kupinga hukumu ya kinyama waliyopewa na Mahakama ya Hakimu Mkaazi Kisutu , iliyowakamua shilingi za Kitanzania mil 350 .
Kazi imeanza upya .
My take : Kuna umuhimu mkubwa sana wa kuchukua hatua hii ili kuweka kumbukumbu sawa kwa faida ya vizazi vijavyo